njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
jibu lake lipo tayari TFF na simba wanafanya hujuma,watavurugana hawa dirisha dogo wanafukuza vichwa vya kutosha huku wakilaumu simba na marefa na tffMuunganiko wa timu , hukumbuki msimu uliopita zahera alichelewa kujiunga na timu ,kilichofuata?
OK nisiwaingilie timu yenu
Sent using Jamii Forums mobile app