Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Anacheza namba ngapi?Hatukatazi kulamba ndimu jamani. [emoji1787][emoji1787]
Mpeni NsajigwaTunasikilizia tuone kama leo watatupa taarifa mana uongozi jana ulisema soon watamtanganza Kocha Mpya.
Mkuu unaonekana mzuri sana wa kuweka caption. Hembu weka na hiiUbwana na utwana ndani ya BongoView attachment 1545269
Shadeeya vipi jambo bado tu? π·KWANI MUNATESEKA? πππ
Baadae twendeni Airport tuna jambo letu huko.
Sasa si uende kwenye post la mikia mkuu? Tunawanyima usingiziYanga Ni kama watoto wanasahau mapema, hawana kocha halafu wanashangilia usajili kabla ya kuwaangalia wachezaji uwanjani.
Team yenyewe waliifumua upya.
Songne labda kapata mkataba mpya, tunaye tuyingeYanga mmeshalishwa tango pori na viongozi wenu kwa mchezaji Yacouba sogne.
Kiufupi kawatosa.
Tukiwaambia timu inaongozwa na viongozi walevi wanapanic! Ona leo walivyoingizwa chaka, wamepangwa mistari airport kama wanasubiri mgao wa ubwabwa wa mheshimiwa Hashim Rungwe!Leo mmeenda kupokea upepo Airport
Huyo mchezaji kapitia majini na boti[emoji38][emoji38]Tukiwaambia timu inaongozwa na viongozi walevi wanapanic! Ona leo walivyoingizwa chaka, wamepangwa mistari airport kama wanasubiri mgao wa ubwabwa wa mheshimiwa Hashim Rungwe!
Hahaha mimi niliona video moja kuna vijawa wawili ya Yanga.Nilicheka sana jana niliona video moja Vijana wa Wananchi wanaimba kuwa huyu Calinyos ni mjukuu wa Onyango. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kuwapa mikia nafasi icheze na namungo huko arushaWananchi mimi tayari leo nimechukua kadi yangu ya 5,000 tayari.
J2 nikitoka zangu kanisani nadandia zangu basi mpaka Uhasibu.
Nimeambiwa Game inaanza saa 1 usiku, hii taarifa ni ya kweli wananchi?
Asante kwa taarifa, haina shida, ngoja tutunze kadi zetu.Kweli kuwapa mikia nafasi icheze na namungo huko arusha
Ila nyie bana. πππ Zidini kujifurahisha ili ikitokea mupate presha kwa wingi. ππSio Morrison ni wengi tu,Ombea awe garasa[emoji23]
Hvi mtani kwani mna ndoto ya kuchukua u ubingwa msimu huu!??
Naona mnajisahaulisha kuwa tunayo hatimiliki kwa sasa
Mtani kazi unayo aiseee. π€£Mechi yenu vs African sport jana mlicheza au mlighairi? Kama mlicheza matokeo yalikuaje
Yule kocha wenu naona kaona picha mnazopiga kwenye kile kiwanja Cha shule ya msingi kaamua kimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mikia mmoja alinichekesha sana eti aliandika kwenye huo uzi wao anasema uzi wetu unaogopwa kama ukoma nikabaki kucheka na kusema. lol.Uzi wa simba huwa hauna wachangiaji naona wanajazana ujinga mpaka wana kerekana. Wanaamua kutokupashana habari maaana michango yao ni michache ukilinganisha na chama la wana wa jangwani