Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ubwana na utwana ndani ya BongoView attachment 1545269
Mkuu unaonekana mzuri sana wa kuweka caption. Hembu weka na hii
FB_IMG_1598524972225.jpg
 
Yanga mmeshalishwa tango pori na viongozi wenu kwa mchezaji Yacouba sogne.
Kiufupi kawatosa.
 
Yanga Ni kama watoto wanasahau mapema, hawana kocha halafu wanashangilia usajili kabla ya kuwaangalia wachezaji uwanjani.

Team yenyewe waliifumua upya.
 
[emoji38]
Tukiwaambia timu inaongozwa na viongozi walevi wanapanic! Ona leo walivyoingizwa chaka, wamepangwa mistari airport kama wanasubiri mgao wa ubwabwa wa mheshimiwa Hashim Rungwe!
Huyo mchezaji kapitia majini na boti[emoji38][emoji38]
 
Nilicheka sana jana niliona video moja Vijana wa Wananchi wanaimba kuwa huyu Calinyos ni mjukuu wa Onyango. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha mimi niliona video moja kuna vijawa wawili ya Yanga.

Mmoja akasema kuwa babu yake amepotea, amekuja Dar siku hiyohiyo na akapotea.

Sasa akapokea simu kuwa babu yake ameonekana kariakoo, mtaa wa msimbazi.

Yule mwenzake akamjibu kuwa ameshasajiliwa.

Ukiwasikiliza wenyewe unaweza ukacheka sana.
 
Wananchi mimi tayari leo nimechukua kadi yangu ya 5,000 tayari.

J2 nikitoka zangu kanisani nadandia zangu basi mpaka Uhasibu.

Nimeambiwa Game inaanza saa 1 usiku, hii taarifa ni ya kweli wananchi?
 
Wananchi mimi tayari leo nimechukua kadi yangu ya 5,000 tayari.

J2 nikitoka zangu kanisani nadandia zangu basi mpaka Uhasibu.

Nimeambiwa Game inaanza saa 1 usiku, hii taarifa ni ya kweli wananchi?
Kweli kuwapa mikia nafasi icheze na namungo huko arusha
 
Sio Morrison ni wengi tu,Ombea awe garasa[emoji23]

Hvi mtani kwani mna ndoto ya kuchukua u ubingwa msimu huu!??

Naona mnajisahaulisha kuwa tunayo hatimiliki kwa sasa
Ila nyie bana. 😂😂😂 Zidini kujifurahisha ili ikitokea mupate presha kwa wingi. 😂😂
 
Mechi yenu vs African sport jana mlicheza au mlighairi? Kama mlicheza matokeo yalikuaje

Yule kocha wenu naona kaona picha mnazopiga kwenye kile kiwanja Cha shule ya msingi kaamua kimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtani kazi unayo aiseee. 🤣
 
Uzi wa simba huwa hauna wachangiaji naona wanajazana ujinga mpaka wana kerekana. Wanaamua kutokupashana habari maaana michango yao ni michache ukilinganisha na chama la wana wa jangwani
Kuna mikia mmoja alinichekesha sana eti aliandika kwenye huo uzi wao anasema uzi wetu unaogopwa kama ukoma nikabaki kucheka na kusema. lol.

CC. DullyJr.
 
Back
Top Bottom