Nakazia!! "Ukinuna uwe na sababu"Ukinuna uwe na sababu[emoji2]
Kabisa tuandaage mkwanja na naamini za safari hii zitakuwa bomba zaidi.Leo wananchii tutazindua jersey zetu mpya hopely zitakua Kali kuzidi za last season
Kwani unateseka Mtani.
Tuliopigwa na jua pale Uwanjani tuko kimyaaa wala hatuna habarrri cha ajabu wewe uliyekuwa unatusubiria utuone kiganjani ndo maumivu mpaka kooni. Lol
Ujue nimecheka sana Mtani sasa mkonga ninao mimi we unakuchoshaje sa.kwani sisi tunateseka tatizo gongo wazi mnapata taabu
Yanga kama Yanga.
Huu msimu ni wetu, wananchi ni wetu, Ligi ni yetu.
#daimambeleMwikonyuma
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Ujue nimecheka sana Mtani sasa mkonga ninao mimi we unakuchoshaje sa.
Hatupati tabu wala nini.
Mkonga niliomaanisha ni sawa na mzigo nimebeba mimi iweje maumivu upate wewe.uzuri unajivika uhenga
bahati nzuri mkonga huna ila taabu ya gongo wazi iko palepale