Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

kwani sisi tunateseka tatizo gongo wazi mnapata taabu
Kwani unateseka Mtani.

Tuliopigwa na jua pale Uwanjani tuko kimyaaa wala hatuna habarrri cha ajabu wewe uliyekuwa unatusubiria utuone kiganjani ndo maumivu mpaka kooni. Lol
 
20200828_084044.jpg
 
uzuri unajivika uhenga
bahati nzuri mkonga huna ila taabu ya gongo wazi iko palepale
Mkonga niliomaanisha ni sawa na mzigo nimebeba mimi iweje maumivu upate wewe.

Na kama sio mkonga iweje uone tunapata tabu wakati wewe si mmoja ya wanaopata hiyo tabu? Au na wewe ulienda Airport jana?
 
Back
Top Bottom