Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Benchi la ufundi la Klabu ya Yanga

🇷🇸 Kocha Mkuu: Zlatko Krmpotic
🇹🇿 Kocha Msaidizi: Juma Mwambusi
🇧🇮 kocha wa Makipa: Vladmir Niyonkuru
🇿🇦 kocha wa viungo: Riedoh Birdien
🇿🇦 Mchua misuli: Fareed Kassim
🇹🇿 Meneja wa timu: Hafidh Saleh
🇹🇿 Mtunza vifaa: Fred Mbuna
 
MIKIA MTAHANGAIKA SANA MWAKA HUU. YAANI WENYEWE TUMETULIA TULII ILA NYIE SASA VITI HAVIKALIKI.

POLENI VIKIZIDI LAMBENI NDIMU. [emoji108][emoji108][emoji108]

#DaimaMbeleNyumaMwiko"
[emoji1753][emoji1753][emoji1753][emoji1490][emoji1490]
 
Kwahiyo mkongwe Fred Mbuna mmeamua awatunzie vifaa!!?
 
We Mtanzania kweli au tukuitie uhamiaji chap?[emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
 
Panamtosha hapo Mtani.
Basi tena ndio mshaamua awatunzie stoo namkumbuka Mbuna ni legend enzi zake akiwa beki kisiki na mtaalam sana wa kurusha mipira

Hata hivyo Stoo inamtosha mpeni na kitengo cha kuandaa chai pia
 
Basi tena ndio mshaamua awatunzie stoo namkumbuka Mbuna ni legend enzi zake akiwa beki kisiki na mtaalam sana wa kurusha mipira

Hata hivyo Stoo inamtosha mpeni na kitengo cha kuandaa chai pia
Hahahaaa!! Kwani Mtani kwa maoni yako tungempanga wapi ndo pangefaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…