Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Sawa. Lakini Kwani na wewe kuna maumivu yeyote unapata Mtani? 😅Hahahahahahahahah hakuna kocha hapo mmepigwa za mbavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Lakini Kwani na wewe kuna maumivu yeyote unapata Mtani? 😅Hahahahahahahahah hakuna kocha hapo mmepigwa za mbavu.
Ila Mtani bana hivyo baada ya sisi kumtangaza tu ukaenda kutafuta siiviii zake. 😂😂😂 lolHahahahahahahahah hakuna kocha hapo mmepigwa za mbavu.
Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake. 😃MIKIA MTAHANGAIKA SANA MWAKA HUU. YAANI WENYEWE TUMETULIA TULII ILA NYIE SASA VITI HAVIKALIKI.
POLENI VIKIZIDI LAMBENI NDIMU. 👌👌👌
#DaimaMbeleNyumaMwiko"
😂😂😂😂 Mtani eti kipi kafanya Yanga this time ukakifurahia?Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake. 😃
Basi hapo Penison na Troisième Ceil watabisha.Leo na jana nmepata nafasi ya kuangalia mazoez ya timu yetu! Yule striker Sarpong tumeramba dume!
Au laliga wameshauri apewe timu?
Kama kawa mazoezi yanaendelea.
View attachment 1550662
[emoji1753][emoji1753][emoji1753][emoji1490][emoji1490]MIKIA MTAHANGAIKA SANA MWAKA HUU. YAANI WENYEWE TUMETULIA TULII ILA NYIE SASA VITI HAVIKALIKI.
POLENI VIKIZIDI LAMBENI NDIMU. [emoji108][emoji108][emoji108]
#DaimaMbeleNyumaMwiko"
Kwahiyo mkongwe Fred Mbuna mmeamua awatunzie vifaa!!?Benchi la ufundi la Klabu ya Yanga
[emoji1212] Kocha Mkuu: Zlatko Krmpotic
[emoji1241] Kocha Msaidizi: Juma Mwambusi
[emoji1060] kocha wa Makipa: Vladmir Niyonkuru
[emoji1221] kocha wa viungo: Riedoh Birdien
[emoji1221] Mchua misuli: Fareed Kassim
[emoji1241] Meneja wa timu: Hafidh Saleh
[emoji1241] Mtunza vifaa: Fred Mbuna
Hahaa alikua kocha wa majimaji huku songea had MTU wa stooKwahiyo mkongwe Fred Mbuna mmeamua awatunzie vifaa!!?
We Mtanzania kweli au tukuitie uhamiaji chap?[emoji1787] [emoji1787][emoji1787]Utopolo nyie muna nin lakin ,makombe mulichukia miaka kumi iliyopita kwaiyo huo usajir munaosema mchezaj gar mumesajil kwa ajir ya nn,kama mulichukua miaka kum kwaiyo wenzenu sasa iv wasichukue kwa sababu nyie mulichukua miaka kum nyuma ,kuna utopolo mmoja anasema uyo mchezaj wenu ghal kasajiliwa dollar 500,muna shida nyie
Panamtosha hapo Mtani.Kwahiyo mkongwe Fred Mbuna mmeamua awatunzie vifaa!!?
Acha kabisa aiseeHahaa alikua kocha wa majimaji huku songea had MTU wa stoo
Basi tena ndio mshaamua awatunzie stoo namkumbuka Mbuna ni legend enzi zake akiwa beki kisiki na mtaalam sana wa kurusha mipiraPanamtosha hapo Mtani.
Hahahaaa!! Kwani Mtani kwa maoni yako tungempanga wapi ndo pangefaa?Basi tena ndio mshaamua awatunzie stoo namkumbuka Mbuna ni legend enzi zake akiwa beki kisiki na mtaalam sana wa kurusha mipira
Hata hivyo Stoo inamtosha mpeni na kitengo cha kuandaa chai pia