Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
🙄USITUFOKEE. 😅
Hivi vibabu B viko kituo gani Cha wazee ndugu zangu?
Eti wanasema kaiga. 😂😂😂
Wakati yule alishuka nayo kuwasapuraiz 5imba mana hawajuagi helikoputa. 🤣🤣🤣
Hapa ni uso kwa uso na Manula Aisha
Picha B ni ya Gor Mahia miacha kadhaa nyuma siyo SSC
Jambo gani ilo hata jezi mpya mpaka sasa azijatoka?Jambo Letu Leo
Kweni mkuu jezi zinakuuma nini? Si tutazindua kwa mda wetu na wala hatuna presha.Jambo gani ilo hata jezi mpya mpaka sasa azijatoka?
Uto kama uto.
Hawa kila jambo la Yanga linawauma kichizi aseeKweni mkuu jezi zinakuuma nini? Si tutazindua kwa mda wetu na wala hatuna presha.
Wengi wa washabiki wa simba ni waswahili tu sasa Yanga inawaumiza sana maana mambo yanaendeshwa na vijana wadogo tu.Hawa kila jambo la Yanga linawauma kichizi asee
hii mechi tunaangalia kwa Link gani, kwa sisi tunaosafr?
[emoji23][emoji23][emoji23]