Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Anatokea mbumbu fc mmoja anakosoa uvaaji wa yanga unajiuliza huyu anafikilia kwa kutumia nn
FB_IMG_15988537642131991.jpg
 
Mimi simba ila ukweli tuseme tu jana show ya yanga ilikua funga kazi, creativity na umakini wa hali ya juu na vibe la kutosha. Simba tulifanya kimazoea, na manara kuwa mc ni ujinga maana focus yake ni kuwakera yanga na sio kusherehesha!​
hongereni sana yanga na big up kubwa kwa harmonize kwa ubunifu na uthubutu wa hali ya juu, wasanii lazima nao waumize vichwa kuwa wabunifu kama yeye.​
Show ilikua balaa, spund effect is everything ktk matamasha, jana hadi chafya akipiga mtumbuizaji unaisikia! Simba ilikua mazoea! Tuliweka spika za kwenye vigodoro, diamond alitumia nguvu ya ziada kuamsha watu!​
Ingawa simba ndio waanzilishi wa haya matamasha ya vilabu ila yanga mmeonyesha jinsi gani yanatakiwa kufanywa, mmetuonyesha sisi simba tulikua tunafanya ndivyo sivyo.​
Ni wajibu wetu simba kujibu mapigo tamasha lijalo kwa kushirikisha watu maalum maeneo hayo kuanzia ma Mc wawe wale wa kusherehesha sio kukera!​
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
Hivi wakuu kama timu yetu Yanga inateswa namna ile kwa timu iliyopungufu tena kutoka Burundi, itakuaje sasa tukikutana na timu kama KMC ambayo tulishindwa kuifunga kwenye mechi za kirafiki mpaka Ligi kuu?

Daima mbele nyuma mwiko
 
Lucy Emayer yawezekana ulikuwa sawa kabisa.....

Yule mwenzenu aliyewaita utopolo nae mlimchota mitama ya Adam mchomvu ikasome
 
Back
Top Bottom