Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mimi imewahi kunikuta hii, first time naingia taifa mechi ya simba na yanga,, japo nilikua nimewahi kuingia mara 2 nyuma kwenye mechi za kawaida, sijui ilikuaje nikajichanganya nikaingilia kule kwa simba tena nikiwa na jezi na skafu, na kipindi hicho yanga ya babu ni ya moto sana (tulishinda ile mechi 2-0) simba wenyewe walijua kabisa kua wanafungwa.

Ile nimetokea tu upande wao aiseh wakanifukuza nashukuru Mungu mbio ziliniokoa, nilikimbia huku navua jezi na skafu nikabaki na singrendi tu ya ndani hivo hata niliokua nakutana nao mbele hawakutilia maanani kama wale walionitoa baruti huko nyuma.

Isingekua Mungu na mbio I'm sure ningeyachezea makofi ya kutosha siku ile.
 
Gang Chomba huwezi fanya editing kwenye majina yakawa na capitals? Au wasimamizi wa JF saidieni thead hii ikae vizuri please.....
 
Wananchi ishu ya kiingilio uwanjani J2 utaratibu upoje?

Ingekuwa hiyari yangu Game zote za Yanga zichezwe kuanzia saa 12 jioni au saa 1.
 
Jamani hivi jezi zetu zinatoka lini? Maana viongozi na wasemaji kila tukiuliza wanatupiga chenga.
 
Jamani hivi jezi zetu zinatoka lini? Maana viongozi na wasemaji kila tukiuliza wanatupiga chenga.
π™½πš’πš–πšœπš’πš”πš’πšŠ πš“πšŠπš—πšŠ πš‹πšžπš–πš‹πšžπš•πš’ πšŠπš•πš’πšœπšŽπš–πšŠ πš•πšŽπš˜ πš πšŠπšπšŠπš•πš’πšπš˜πš•πšŽπšŠ πšžπšπšŠπšπšŠπš—πšžπš£πš’ πš—πšŠπš˜πš—πšŠ πš–πš™πš” 𝚜𝚊𝚜𝚊 πš”πš’πš–πš’πšŠ, πš—πšπš˜πš“πšŠ πšπšžπšœπšžπš‹πš’πš›πš’ πš–πš™πš” πš“2 πšπšžπš˜πš—πšŽ πš”πš– πš£πš’πšπšŠπšπšžπš–πš’πš”πšŠ πš–πš™πš’πšŠ 𝚊𝚞 𝚣𝚊 πš£πšŠπš–πšŠπš—πš’.
 
Ktk hili GSM wanafeli wapi tena?
 
Ktk hili GSM wanafeli wapi tena?
πš‚πš’πš“πšžπš’ πš”πš πšŠπš”πš πšŽπš•πš’, πš•πšŠπš‹πšπšŠ πš—πš’ πš–πšŠπš›πš”πšŽπš πšœπšπš›πšŠπšπšŽπšπš’ 𝚊𝚞 𝚠𝚊𝚝𝚊 πš•πšŠπšžπšŒπš‘ πš™πšŠπš–πš˜πš“πšŠ πš—πšŠ πš”πšžπš‹πš πšŠ πš”πšžπš•πš’πš”πš˜?
 
Kwani Mungalu nae alienda kuoa!? Mnajaribu kuikwepa aibu. Terminator keshawasha mitambo sahizi msipotoa shikamoo kwa wakati anawazabua tu vibao. Bado Mzee Onyango hajaanza kuwagonga makofi
πšœπš‘πš’πš”πšŠπš–πš˜πš˜ π™Όπš‰π™΄π™΄ π™Ίπ™Έπ™³πš„π™½πš„π™»π™°1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…