KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI DHIDI YA TANZANIA PRISONS HAPO 19:00HRS UWANJA WA MKAPA.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Sherehe za ubingwa kwetu tumeanza tayari.. vipi huko kwenu sherehe za nafasi ya pili ? mshaanza au bado?KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI DHIDI YA TANZANIA PRISONS HAPO 19:00HRS UWANJA WA MKAPA.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Ngapi ngapi kwani huko?Sherehe za ubingwa kwetu tumeanza tayari.. vipi huko kwenu sherehe za nafasi ya pili ? mshaanza au bado?
1-2Ngapi ngapi kwani huko?
Naona waamuzi wameshaanza mambo yao. Lol.
Wakienda Champions league round ya kwanza tu wametolewa kwa kuzowea vitonga.Matumizi ya zile bl 20....
Kigwa,nyamazaView attachment 1560787
Ila waamuzi wa bongo bana yani mechi ya kwanza tu washaanza kuonyesha vimbwanga vyao.Matumizi ya zile bl 20....
Kigwa,nyamazaView attachment 1560787
Kwa mchezo huu wa vikongwe kujiangusha na kutegemea mbeleko,Champions league wakitoka nje watapigwa kumi.Wakienda Champions league round ya kwanza tu wametolewa kwa kuzowea vitonga.
Inasikitisha sana. Halafu anatokea shabiki mmoja anasema wao ndio mabingwa wapya wa CAF Champions league. Ubingwa wanapataje kwa style hii.Kwa mchezo huu wa vikongwe kujiangusha na kutegemea mbeleko,Champions league wakitoka nje watapigwa kumi.
Nyumbani wajitahidi kupulizia ile dawa