Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo tunatakiwa tupewe adhabu gani Mkuu according to sheria 17 za mpira? [emoji41][emoji41][emoji41]
Dooh!!!
Tunashinda 3 - 0.
Anaulizw bl 20 za hisa ziko wapi...Kimeanza kunuka mapemaaaa. Lol
Wasiojielewa wanamdharau na kumbeza Kigwangwala eti kisa wanachotaka wao ni kufurahi na kujisahaulisha kwamba kauliza maswali ya msingi. [emoji23][emoji23]
#Wameuzwaaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dooh!!Wanakufa goli mbili
😂😂😂Mvae jezi mbichi mpaka zikauke[emoji16]
Sawa. Ila ndo matokeo yetu ya leo yatakavyokuwa hayo.Endelea kuhesabu vidole ukimaliza nambie[emoji23]
Sawa. Ila ndo matokeo yetu ya leo yatakavyokuwa hayo.
Goli mbili hizo veeeepeeeee.Wanakufa goli mbili
Kazi ipo Mkuu.Anaulizw bl 20 za hisa ziko wapi...
Anajibu "sikukopeshi bodaboda"
Halafu mbumbumbu wanashangilia
Goli mbili hizo veeeepeeeee.
#Achenikutuchawia.
Anaulizw bl 20 za hisa ziko wapi...
Anajibu "sikukopeshi bodaboda"
Halafu mbumbumbu wanashangilia
Kazi ipo Mkuu.
Aah!! Sema tu umekosa cha kumsema mtani.Uyo mkongo wenu mbona ana rangi nyingi kama kinyonga,au ndo mbagala rangi tatu[emoji16]
Tawiireeee.Kiukweli leo hampati matokeo mazuri mtani
Ndio nitakuwepo pia.Nitakutafuta alfajiri