Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200906_074426.jpg
 
Kimeanza kunuka mapemaaaa. Lol

Wasiojielewa wanamdharau na kumbeza Kigwangwala eti kisa wanachotaka wao ni kufurahi na kujisahaulisha kwamba kauliza maswali ya msingi. [emoji23][emoji23]

#Wameuzwaaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaulizw bl 20 za hisa ziko wapi...
Anajibu "sikukopeshi bodaboda"
Halafu mbumbumbu wanashangilia
 
Back
Top Bottom