Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Naona waamuzi wameshaanza mambo yao. Lol.
Hivi mtawategemea wao mpaka lini eti Mtani?
Hakuna anayewatuma waboronge. Kumbuka msimu uliopita mlidhani Simba tunawarubuni, baada ya siku chache tu wakaanza kutoa maamuzi yanayowabeba Yanga, hadi kutoka mpira kuingia wavuni hadi kuwa kona. Mkawa wapole mkaungana nasi kusema kumbe ni tatizo lao
 
Oooh. Sawa Mtani.
 
2-1
wale digidigi wako vizuri bana..mnashughuli mkikutana nao
Hahahaaa. Kweli wamekunyoosha hivyo hapo unajua tukikutana nao watatufunga ama?

Mechi itakuwa ngumu ila naamini matokeo tutapata.
 
Kuwafunga mnaweza.. ila hakuna mteremko pale, wako vizuri
Tunawafahamu vyema kuna hatua tulikutana nao sikumbuki mwaka kwenye kombe la FA nakumbuka tuliwatoa kwa matuta.

Jamaa walikaza mbaya.
 
Tunawafahamu vyema kuna hatua tulikutana nao sikumbuki mwaka kwenye kombe la FA nakumbuka tuliwatoa kwa matuta.

Jamaa walikaza mbaya.
wako vizuri..wana mashambuli machache ila mazito balaa [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mimi ushindi maandalizi sina Simba leo tumebebwa na mbereko ya Rose Muhando ni Bebe ni kubebe.
 
wako vizuri..wana mashambuli machache ila mazito balaa [emoji38][emoji38][emoji38]
Ila season hii ligi itakuwa ngumu sana.

Japo timu ndogo zinakera saa ingine kwani zinakazia timu kubwa zikija zenyewe kwa zenyewe inakuwa vituko tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…