Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anayewatuma waboronge. Kumbuka msimu uliopita mlidhani Simba tunawarubuni, baada ya siku chache tu wakaanza kutoa maamuzi yanayowabeba Yanga, hadi kutoka mpira kuingia wavuni hadi kuwa kona. Mkawa wapole mkaungana nasi kusema kumbe ni tatizo laoNaona waamuzi wameshaanza mambo yao. Lol.
Hivi mtawategemea wao mpaka lini eti Mtani?
2-1Ngapi ngapi kwani huko?
Oooh. Sawa Mtani.Hakuna anayewatuma waboronge. Kumbuka msimu uliopita mlidhani Simba tunawarubuni, baada ya siku chache tu wakaanza kutoa maamuzi yanayowabeba Yanga, hadi kutoka mpira kuingia wavuni hadi kuwa kona. Mkawa wapole mkaungana nasi kusema kumbe ni tatizo lao
Chukulu lile goli lao limekataliwa. 😂😂😂2-1
wale digidigi wako vizuri bana..mnashughuli mkikutana nao
timu zote mbili zimenyimwa magoli , ni kama kasawazisha tuNaona waamuzi wameshaanza mambo yao. Lol.
Hivi mtawategemea wao mpaka lini eti Mtani?
Hahahaaa. Kweli wamekunyoosha hivyo hapo unajua tukikutana nao watatufunga ama?2-1
wale digidigi wako vizuri bana..mnashughuli mkikutana nao
Hata Kagere kataliwa goli vile vileChukulu lile goli lao limekataliwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwafunga mnaweza.. ila hakuna mteremko pale, wako vizuriHahahaaa. Kweli wamekunyoosha hivyo hapo unajua tukikutana nao watatufunga ama?
Mechi itakuwa ngumu ila naamini matokeo tutapata.
Hahahahaaa. Tooobaaa.timu zote mbili zimenyimwa magoli , ni kama kasawazisha tu
Tunawafahamu vyema kuna hatua tulikutana nao sikumbuki mwaka kwenye kombe la FA nakumbuka tuliwatoa kwa matuta.Kuwafunga mnaweza.. ila hakuna mteremko pale, wako vizuri
wako vizuri..wana mashambuli machache ila mazito balaa [emoji38][emoji38][emoji38]Tunawafahamu vyema kuna hatua tulikutana nao sikumbuki mwaka kwenye kombe la FA nakumbuka tuliwatoa kwa matuta.
Jamaa walikaza mbaya.
kadada karembo kale, kanafaa kwa matumiz ya binadamuHahahahaaaa.
#Barbara Fc. Lol
Ila season hii ligi itakuwa ngumu sana.wako vizuri..wana mashambuli machache ila mazito balaa [emoji38][emoji38][emoji38]
Weee!! Munatamani nyie ndo mungekuwa OOM. 😂kadada karembo kale, kanafaa kwa matumiz ya binadamu
Mtani kama nakuona unavyoitamani saa moja ifike halafu Prisons wapate bao. LolMimi ushindi maandalizi sina Simba leo tumebebwa na mbereko ya Rose Muhando ni Bebe ni kubebe.