Swadakta.Mambo yapo hivi mda huuView attachment 1560841
Hata Azam aliitoa IHEFU kwa matuta naambiwa hapa.. ..nilikua naidharau , baada ya hii mechi nimewaheshimu sana, mtu atakae wadharau ameenda na majiWeee!! Munatamani nyie ndo mungekuwa OOM. [emoji23]
Dada yangu Prisons hamnaga kitu mbele ya Yanga Wala sijisumbui hata kuiangalia.Mtani kama nakuona unavyoitamani saa moja ifike halafu Prisons wapate bao. Lol
Hakika Mtani.Hata Azam aliitoa IHEFU kwa matuta naambiwa hapa.. ..nilikua naidharau , baada ya hii mechi nimewaheshimu sana, mtu atakae wadharau ameenda na maji
Sio kikosi chetu cha maangamizi Mtani ndo kinakufanya usiangalie sababu unajua kina Sarpong sio level za kina Yikpe yaani wakaipata chance tu tunaongea mengine?Dada yangu Prisons hamnaga kitu mbele ya Yanga Wala sijisumbui hata kuiangalia.
Haya nimebadili mawazo ,Ngoja niangalie sasa na hamtoki hii mechi zaidi ya sare.Sio kikosi chetu cha maangamizi Mtani ndo kinakufanya usiangalie sababu unajua kina Sarpong sio level za kina Yikpe yaani wakaipata chance tu tunaongea mengine?
Tayari huko, muingizeni kalinyosiSio kikosi chetu cha maangamizi Mtani ndo kinakufanya usiangalie sababu unajua kina Sarpong sio level za kina Yikpe yaani wakaipata chance tu tunaongea mengine?
Goli la Super Meddie Kagere lililo kataliwaWeee!! Munatamani nyie ndo mungekuwa OOM. [emoji23]
Mtani kama nakuona unavyoitamani saa moja ifike halafu Prisons wapate bao. Lol
ndiyo mnavyojipa moyoKikosi tumekiona, marekebisho ya kocha yatakiweka sawa. Muda utaongea