Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Weee!! Munatamani nyie ndo mungekuwa OOM. [emoji23]
Hata Azam aliitoa IHEFU kwa matuta naambiwa hapa.. ..nilikua naidharau , baada ya hii mechi nimewaheshimu sana, mtu atakae wadharau ameenda na maji
 
Hata Azam aliitoa IHEFU kwa matuta naambiwa hapa.. ..nilikua naidharau , baada ya hii mechi nimewaheshimu sana, mtu atakae wadharau ameenda na maji
Hakika Mtani.

Japo nyie mshamalizana nao kwa hii round ya kwanza.
 
Dada yangu Prisons hamnaga kitu mbele ya Yanga Wala sijisumbui hata kuiangalia.
Sio kikosi chetu cha maangamizi Mtani ndo kinakufanya usiangalie sababu unajua kina Sarpong sio level za kina Yikpe yaani wakaipata chance tu tunaongea mengine?
 
Sio kikosi chetu cha maangamizi Mtani ndo kinakufanya usiangalie sababu unajua kina Sarpong sio level za kina Yikpe yaani wakaipata chance tu tunaongea mengine?
Haya nimebadili mawazo ,Ngoja niangalie sasa na hamtoki hii mechi zaidi ya sare.
 
Weee!! Munatamani nyie ndo mungekuwa OOM. [emoji23]
Goli la Super Meddie Kagere lililo kataliwa
1599411517921.jpg
 
Ndugu zangu yanga
Sarpong ni Yikpe mwingine tu
Kisinda ni mchezaji mzuri ila si mchezaji hatari ni new version ya sibomana
Yule shomari kibwana hatari sana
Yule feisal amezaliwa upya
Namsubiri huyo calinyos
 
uto kama utopolo
Mukoko kama Mukokoteni
Kisinda kama Kisirani

Huyu Farid alienda Spain kuchukua nini?
Mbona hata hapo Yanga anatakiwa asipate namba anaharakati za pimbi za kukimbia kimbia bila muelekeo.
 
Back
Top Bottom