Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ligi Bado Sana yanga wanawachezaji wakiushindani Kama wataingia haraka kwenye falsafa za mwalimu Basi watapigania ubingwa Hadi mwisho,shida naona kwa mashabiki kutokua wavumilivu ikatika kipindi ichi timu inatafuta muunganiko
 
Yanga hii ya msimu huu ni timu nzuri sana. Inshitajika mda kidogo tu iwe vzr sana, mwalim anatakiwa kuunganisha timu, ukizingatia wachezaji anao na wa kutosha. Asante Yanga kwa usajiri mzuri na wa kupambania mataji. Huyu Zawadi Mauya ni mtu na nusu. Feitoto kawa mpya. Pale mbele ni hatari tupu. Mda tu utazungumza. Mimi ni shabiki wa Dar es Salaam Young Africa na msimu huu, tuna jambo letu.
 
Ligi Bado Sana yanga wanawachezaji wakiushindani Kama wataingia haraka kwenye falsafa za mwalimu Basi watapigania ubingwa Hadi mwisho,shida naona kwa mashabiki kutokua wavumilivu ikatika kipindi ichi timu inatafuta muunganiko
Ok mkuu ngoja tuone na azam nae yupo vp, angalau ipatikane timu yenye guarantee ya ku m challange simba kwa consistency

Naamin this season ligi itakua tamu zaidi
 
Kwa sasa TFF na bodi ya Ligi wanatakiwa kuwa wakali kwa marefa. Mfano refa wa jana wa Simba na Ihefu aliaribu mpira kwa kuwanyima Ihefu goli la wazi kwa msaidizi wake kuonesha kuwa mchezaji wa Ihefu kaotea. Pili game ya Yanga vs Prison, offside moja ya beki namba tatu wa Yanga ilikuwa kimakosa. Napata shida na waamuzi wasaidizi sana. Wameonesha mslungufu katika mechi zs kwanza tuu
 
Goli la kagere hujaliona? Uto bwana
 
Refa jana alizingua, magoli yote ya Ihefu na simba la Kagere yalikuwa clear goals, nlichogundua asilimia kubwa ya wasaidizi wa marefa hawajui kutafsiri sheria ya offside.
 
ila na kocha anazingua, sasahivi yanga kuna viungo bora sana, unachezeshaje mfumo wa kizaman wa 442! ma strikers 2 wa nini! tia takataka zote za viungo, weka mukoko Niyo,fei, farid, Kisinda, simamisha striker 1 mbele, 433 au 4231, makocha waache uzwazwa, tunataka burudan.
 
Goli la kagere hujaliona? Uto bwana
Hata la Kagere lilikua clear goli lakini pamoja na kwamba lilikataliwa lakini refa aliharibu mchezo, goli la 2 la Ihefu lingehesabiwa lazima ingewaongezea Ihefu nguvu ya kupambana zaidi tofauti na lilivyokataliwa. Pia kibendera aliamua tu kusawazisha makosa napo alifanya vile kwa sababu alijua matokeo yake hayaiathiri simba, still watakua mbele goli 2-1
 
Hamna wa kukujibu hapo wengi wao hasira za ile ishu ya Kigwa wameona pa kujipozea ni kwenye hii mechi yetu.
 
Ligi Bado Sana yanga wanawachezaji wakiushindani Kama wataingia haraka kwenye falsafa za mwalimu Basi watapigania ubingwa Hadi mwisho,shida naona kwa mashabiki kutokua wavumilivu ikatika kipindi ichi timu inatafuta muunganiko
Sisi uvumilivu tunao sana shida iko huko kwenu upande wa pili mana mnavyopiga mdomo as if hamna kitu kafanya Yanga jana wakati tulimiliki mpira kwa kiasi kikubwa tu ila ndio hatukuwa na bahati pamoja na umakini kwa baadhi ya wachezaji hasa walipolikaribia lango kwani wengi walikuwa na pupa + papara.
 
Yanga need to strive to turn draws into wins to challenge for the title. They registered 14 draws last season, their worst record in 12 seasons.

Interestingly, half of the 14 draws last season came against opponents that they will face in the opening 7 matches this season
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…