Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Umenena vyema mtaniSisi uvumilivu tunao sana shida iko huko kwenu upande wa pili mana mnavyopiga mdomo as if hamna kitu kafanya Yanga jana wakati tulimiliki mpira kwa kiasi kikubwa tu ila ndio hatukuwa na bahati pamoja na umakini kwa baadhi ya wachezaji hasa walipolikaribia lango kwani wengi walikuwa na pupa + papara.
Sent using Jamii Forums mobile app