Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo kalinyos ushamuona akicheza au kelele tuuTumepiga mpira mwingi sana jana. Lakini kitendo cha kumuanzisha Kaseke na Dirtram kwa pamoja halafu Niyinzima anasugua benchi ni dharau kubwa sana. Kaseke na DItram hawapaswi hata kuanza. Nafasi zao ni za kina Kisinda na Niyinzima(Carlinhos). Tunataka wachezaji creative sio wakimbiaji na wazururaji .
Kwanini asiwe anaanza Senzo kwenye kikosi cha kwanza.
Ila nyie Watani bana sasa ulitaka amtaje nani? Barbara au OOM.huyo kalinyos ushamuona akicheza au kelele tuu
uto bna
Nini sasa? 😎Hahahahahahahahah Aisee
Hata sijui shida ni nini, maana hataki kulala na wenzakeHaya huyo Kalinyos ana shida gani?
Tusamehe sisi mtaniIla nyie Watani bana sasa ulitaka amtaje nani? Barbara au OOM.
Hao ndio wachezaji wetu ambao tunao.
Haya huyo Kalinyos ana shida gani?
Hahaha ukute carlinhos ni 2.0 vision ya morrisonHata sijui shida ni nini, maana hataki kulala na wenzake
Haya mandondocha ya Mwamedi yatuache na timu yetu. Ninyi timu yenu imeshahongwa hukohuyo kalinyos ushamuona akicheza au kelele tuu
uto bna
kocha hajataka kumuweka nyie mnalazimisha aanze hakati hajui kituIla nyie Watani bana sasa ulitaka amtaje nani? Barbara au OOM.
Hao ndio wachezaji wetu ambao tunao.
Haya huyo Kalinyos ana shida gani?
uto kama utoHaya mandondocha ya Mwamedi yatuache na timu yetu. Ninyi timu yenu imeshahongwa huko
Mmmh!!!kocha hajataka kumuweka nyie mnalazimisha aanze hakati hajui kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima akazeNa usishangae akatukazia mbaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata sijui shida ni nini, maana hataki kulala na wenzake
hahahahahMmmh!!!
TAA HIRASisi wananchi ubingwa wetu mwaka huu, Bora Mbeya city atufunge ili Simba tumfukuzie kwa mbali[emoji23]
Hata sijui shida ni nini, maana hataki kulala na wenzake
Hahahaha, hujafanikiwa picha ya sample, content 26 duhMzigo dizaini umeingia kontena kama 26 hivi,haya sasa Mbumbumbu/Minyero united jiandaeni kwenda kuununua Uzi hatari Wa Wananchi mana mmeusubiria na kuuulizia kwa hamu sana na kwa muda mrefu sana! Basi mmefurahiiii!!