Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Fei Toto kawafanyaje, mmeanza mchapa viboko tena? au ni sehemu ya propaganda mnamtafutia mbwa jina baya mumuue alafu Kalinyo apate namba?HAYA JAMANI KESHO TUNAZINDUA JEZI HUKOO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fei Toto kawafanyaje, mmeanza mchapa viboko tena? au ni sehemu ya propaganda mnamtafutia mbwa jina baya mumuue alafu Kalinyo apate namba?HAYA JAMANI KESHO TUNAZINDUA JEZI HUKOO.
Nani mwenye nafasi ya uongozi ndani ya Yanga kamuongelea vibaya fei? zaidi ya hawa wachambuzi uchwara.Fei Toto kawafanyaje, mmeanza mchapa viboko tena? au ni sehemu ya propaganda mnamtafutia mbwa jina baya mumuue alafu Kalinyo apate namba?
Hawajitumagi wenyewe hao, lazima zipo simbilis clubin hapo ziko behind the sceneNani mwenye nafasi ya uongozi ndani ya Yanga kamuongelea vibaya fei? zaidi ya hawa wachambuzi uchwara.
Habari ya siku mingi ishapitwa na wakati hii. Habari inaeleza kukataliwa muwekezaji ilihali sisi tupo kwenye mchakato Wa mabadiliko!HABARI
```Na Ally Mayai Tembele
Niliwahi kuandika Yanga inajidanganya yenyewe na kuishi kwa kivuli cha timu kubwa na kudhani labda dunia imesimama kumbe dunia inakimbia kwa kasi mno.
Nilisema Yanga imedumaa na Siku ikija kushtuka na kutaka kwenda sambamba na dunia itakuta tayari Simba imeliteka soko lote la Uchumi wa soka nchini.
Nilitoa mfano wa Juventus, Porto, Buyen Munich, Mazembe, Gor na Horoya kwamba timu hizi tayari zimejimilikisha Uchumi wa soka wa nchi zao. Leo hakuna mchezaji wa Kijerumani asiyetamani kuchezea Buyern. Au mchezaji anayezaliwa Italy ndoto yake kuu ni kucheza Juventus. Na tunakoelekea na Tanzania hali ndiko inakoelekea. Simba inajimilikisha kwa kasi ya ajabu uchumi wa soka.
Yanga wamebaki kujivunia juzi na jana na sio leo na kibaya zaidi sioni kesho yao.
Kama Kuna kosa kubwa kuliko yote linafanyika ni pale wanapobeza mafanikio ya Simba na kuwaponda mwekezaji wa Muhamed Dewj. Wamekuwa wakitafuta mapungufu machache yaliyopo Simba na kuyafanya ndio agenda yao. Wamesahau kabisa kuitazama timu yao na mkwamo uliopo wameamua kuitukuza Simba na kuitaja aidha kwa mapungufu au kuwabeza Kama watani. Wanasahau hapa wao wenyewe ndio wanaikuza brand ya Simba na kuifanya kutajwa mno midomoni kila siku.
Leo Yanga hawana hata Jambo Moja wanaloweza kupambana na Simba aidha ndani au nje ya Uwanja. Wamezidiwa kila udara na itawachukua muda mrefu mno kufikia Simba ilipo Sasa.
Yanga hawajakubali bado kubadilisha mfumo wao wa uendeshaji wa timu kutoka wa kizamani na wa kiholela kuja kwenye mfumo wa kisasa na hii inasababishwa na walaghai tena wezi wa jasho la wachezaji kuwahadaa ni timu ya wananchi na wasikubali mwekezaji kwa kuwa timu itakuwa si Mali yao Tena. Huu ndio uongo uliotukuka wanaoutumia walaghai kuendelea kujinufaisha kupitia klabu hii.
Embu tujiulize nyie wapenzi na mashabiki wa Yanga lini mlinunuliwa hata soda na klabu zaidi ya nyie kuchangishwa? Sasa hicho mnachoaminishwa mtakipoteza ni kipi? Wanaoogopa kupoteza ni wale akina fulani ambao maisha yao yanategemea timu kuendelea kuishi mjini. Na hawa huwa hawachangii zaidi ya kuwa mstari wa mbele kuhamasisha ili wazizungukie mlango wa nyuma wakaziibe.
Daaa nazisubiri kwa hamu sana asee sis ake![emoji122][emoji122][emoji122] Hizo ndo habari tunataka Bro. Yaani za uhakika mia mia.
Kesho tunazindua.
Ha ha ha hata kusema tu bei ya matambala yao huwa wanafanya siri kubwa!Hahahaa. Hela wanazo sasa. [emoji41][emoji41]
Wamezoea vijora vya 8000 nane hao jezi ya 35000 wataziweza wapppi. [emoji23][emoji23]
Hawa tuwape kazi ya ukosoaji tu.
Ha ha ha hata kusema tu bei ya matambala yao huwa wanafanya siri kubwa!
Matambala yale yaliyowalamba 4G...?Ha ha ha hata kusema tu bei ya matambala yao huwa wanafanya siri kubwa!
😂😂Ha ha ha hata kusema tu bei ya matambala yao huwa wanafanya siri kubwa!
Sitaki kuamini hili Mtani.Hawajitumagi wenyewe hao, lazima zipo simbilis clubin hapo ziko behind the scene
Shida moja kubwa ambayo mashabiki wa yanga hawataki kusikia ukweliSitaki kuamini hili Mtani.
Sawa hongeraHUKU NDO TUMEFIKIA WANANCHI.
KAMA KAWA MAZOEZI YANAEBDELEA KUJIWINDA NA MECHI YA JUMAPILI.