Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mzigo dizaini umeingia kontena kama 26 hivi,haya sasa Mbumbumbu/Minyero united jiandaeni kwenda kuununua Uzi hatari Wa Wananchi mana mmeusubiria na kuuulizia kwa hamu sana na kwa muda mrefu sana! Basi mmefurahiiii!!
Jezi za msimu uliopita zilikuwa bado zimerundikana[emoji23][emoji23], mpaka ziishe ndiyo mletewe nyingine.
 
Un
IMG-20200909-WA0087.jpg
 
HABARI

```Na Ally Mayai Tembele

Niliwahi kuandika Yanga inajidanganya yenyewe na kuishi kwa kivuli cha timu kubwa na kudhani labda dunia imesimama kumbe dunia inakimbia kwa kasi mno.

Nilisema Yanga imedumaa na Siku ikija kushtuka na kutaka kwenda sambamba na dunia itakuta tayari Simba imeliteka soko lote la Uchumi wa soka nchini.
Nilitoa mfano wa Juventus, Porto, Buyen Munich, Mazembe, Gor na Horoya kwamba timu hizi tayari zimejimilikisha Uchumi wa soka wa nchi zao. Leo hakuna mchezaji wa Kijerumani asiyetamani kuchezea Buyern. Au mchezaji anayezaliwa Italy ndoto yake kuu ni kucheza Juventus. Na tunakoelekea na Tanzania hali ndiko inakoelekea. Simba inajimilikisha kwa kasi ya ajabu uchumi wa soka.
Yanga wamebaki kujivunia juzi na jana na sio leo na kibaya zaidi sioni kesho yao.
Kama Kuna kosa kubwa kuliko yote linafanyika ni pale wanapobeza mafanikio ya Simba na kuwaponda mwekezaji wa Muhamed Dewj. Wamekuwa wakitafuta mapungufu machache yaliyopo Simba na kuyafanya ndio agenda yao. Wamesahau kabisa kuitazama timu yao na mkwamo uliopo wameamua kuitukuza Simba na kuitaja aidha kwa mapungufu au kuwabeza Kama watani. Wanasahau hapa wao wenyewe ndio wanaikuza brand ya Simba na kuifanya kutajwa mno midomoni kila siku.

Leo Yanga hawana hata Jambo Moja wanaloweza kupambana na Simba aidha ndani au nje ya Uwanja. Wamezidiwa kila udara na itawachukua muda mrefu mno kufikia Simba ilipo Sasa.
Yanga hawajakubali bado kubadilisha mfumo wao wa uendeshaji wa timu kutoka wa kizamani na wa kiholela kuja kwenye mfumo wa kisasa na hii inasababishwa na walaghai tena wezi wa jasho la wachezaji kuwahadaa ni timu ya wananchi na wasikubali mwekezaji kwa kuwa timu itakuwa si Mali yao Tena. Huu ndio uongo uliotukuka wanaoutumia walaghai kuendelea kujinufaisha kupitia klabu hii.
Embu tujiulize nyie wapenzi na mashabiki wa Yanga lini mlinunuliwa hata soda na klabu zaidi ya nyie kuchangishwa? Sasa hicho mnachoaminishwa mtakipoteza ni kipi? Wanaoogopa kupoteza ni wale akina fulani ambao maisha yao yanategemea timu kuendelea kuishi mjini. Na hawa huwa hawachangii zaidi ya kuwa mstari wa mbele kuhamasisha ili wazizungukie mlango wa nyuma wakaziibe.

Simba ana mafanikio gan! kama kufika robo fainal Yanga nayo ilishawahi kufika, kama kuchukua vikombe mara 3 mfululizo, enzi za manji yanga ilishawah kufanya hivyo, bado sijaona kitu kipya cha kutisha kwa Simba, Timu inayokuja kasi kimafanikio hapa Tanzania ni Azam, wana uwanja wao, wanatengeneza vijana wanawauza, kwa kifupi Azam ndiyo timu bora kimaendeleo,Simba na Yanga ni timu kongwe ila kimaendeleo Azam yupo juu.
 
Umeelewa vizuri kilichoandikwa lakini? Nakushauri, soma tena kwa umakini
 
Simba ana mafanikio gan! kama kufika robo fainal Yanga nayo ilishawahi kufika, kama kuchukua vikombe mara 3 mfululizo, enzi za manji yanga ilishawah kufanya hivyo, bado sijaona kitu kipya cha kutisha kwa Simba, Timu inayokuja kasi kimafanikio hapa Tanzania ni Azam, wana uwanja wao, wanatengeneza vijana wanawauza, kwa kifupi Azam ndiyo timu bora kimaendeleo,Simba na Yanga ni timu kongwe ila kimaendeleo Azam yupo juu.

Umesahau kuwa mlipata nafasi ya viti maalum
 
Hii timu yetu Yanga tayari imeshajifia bado kuzikwa tu, hakuna kipya tutakacho fanya zaidi ya kuwa wasindikizaji tu.
Inauma lakini huu ndio ukweli.[emoji21][emoji21]
 
Feisal is Too Overratted! Kuna sifa nyingi anapewa kwa kudanganywa. Sijui ni bahati mbaya au ni kwa makusudi, Watu wameamua kumdanganya FeiToto

Hii haimjengi. Itamdumaza na mwisho wa siku ataishia kukumbukwa kama kiungo mwenye kipaji kikubwa aliyevuma Yanga na kumaliza soka lake Simba

Ni kama ilivyokuwa hadithi ya Chuji na Boban. Ilianza kwa kusisimua, ikaisha kwa kukera. Nani alijali?

Tusisubiri Feisal achelewe. Bado tuna wakati wa kumshauri na kumwambia ukweli

Si kwa faida yake tu, ni kwa Faida ya maendeleo ya mpira wetu kwa ujumla. Fei ana kipaji kikubwa sana lakini inaonekana hana Jitihada za kupush standard yake

Nimeirudia tena kuitazama kuitazama mechi ya Yanga Vs Prison.. Kwa makini sana

Mashabiki wanaamini Feisal alicheza vyema sana. Ukiwauliza Kwanini? Watakwambia alificha sana mpira.. Alipiga turn za kutosha na pasi za vibao... Basi!

Hamna aliyewaza 'turn' zake zilikuwa na athari gani kwa Timu

Dhidi ya Prison, Feitoto amepiga square pass (Pasi za pembeni) nyingi kuliko pasi za mbele. Sio Takwimu nzuri kwa Kiungo mshambuliaji

Katika pasi 47 alizopiga na kufika, nyingi amegongeana na Kaseke na Zawadi Mauya

Attacking Midfielder anatakiwa kuwa na akili ya kushambulia. Idadi ya pasi zake nyingi ziwe zinatafuta mikimbio ya mastraika na mawinga

Na kwenye soka la kisasa, ili uwe na quality hizo ni Lazima uwe fiti kweli kweli

Sio akili pekee, inakulazimu uwe na mapafu yaliojaa pumzi na mwili unaonyumbulika

Kiungo wa kisasa anafika haraka kwenye nafasi ya kupokea mpira na kugeuka haraka kupunguza eneo la kiwanja kwa hatua za kwenda mbele

Feisal ana struggle kuutuma mwili wake. Ana cover eneo dogo la kiwanja! Hii inamfanya ashindwe kutengeneza au kuattack spaces nyingi mbele ya lango la mpinzani

Feisal anatakiwa aongezee bidii mazoezini. Asiishie kuiamini akili yake pekee! Kwa mpira wa kisasa, Eneo analocheza linahitaji watu wenye Energy sana

Naamini kipaji chake. Naamini pia ana nafasi ya kuimprove zaidi. Tusiendelee kumdanganya Feisal

Lile eneo analocheza, Shiboub alikuwa na Assist 6 na Mabao 2 licha ya kucheza dakika 900 tu msimu Uliopita.. Na bado akaonekana Si Lolote!
alikamwe-___CE7NDGLniPI___-.jpg
 
Simba ana mafanikio gan! kama kufika robo fainal Yanga nayo ilishawahi kufika, kama kuchukua vikombe mara 3 mfululizo, enzi za manji yanga ilishawah kufanya hivyo, bado sijaona kitu kipya cha kutisha kwa Simba, Timu inayokuja kasi kimafanikio hapa Tanzania ni Azam, wana uwanja wao, wanatengeneza vijana wanawauza, kwa kifupi Azam ndiyo timu bora kimaendeleo,Simba na Yanga ni timu kongwe ila kimaendeleo Azam yupo juu.
Hivi Mkuu unahangaika nao hawa kabisaa?. 😂😂

#Dontiwesitiyuataimu.
 
Mzigo dizaini umeingia kontena kama 26 hivi,haya sasa Mbumbumbu/Minyero united jiandaeni kwenda kuununua Uzi hatari Wa Wananchi mana mmeusubiria na kuuulizia kwa hamu sana na kwa muda mrefu sana! Basi mmefurahiiii!!
Hahahaa. Hela wanazo sasa. 😎😎

Wamezoea vijora vya 8000 nane hao jezi ya 35000 wataziweza wapppi. 😂😂

Hawa tuwape kazi ya ukosoaji tu.
 
Back
Top Bottom