Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tumepiga mpira mwingi sana jana. Lakini kitendo cha kumuanzisha Kaseke na Dirtram kwa pamoja halafu Niyinzima anasugua benchi ni dharau kubwa sana. Kaseke na DItram hawapaswi hata kuanza. Nafasi zao ni za kina Kisinda na Niyinzima(Carlinhos). Tunataka wachezaji creative sio wakimbiaji na wazururaji .
huyo kalinyos ushamuona akicheza au kelele tuu
uto bna
 
Kwanini asiwe anaanza Senzo kwenye kikosi cha kwanza.
2289386_2289265_14eaa34c-6bd0-49bd-bf25-7086a7fdbf59.gif
 
Ila nyie Watani bana sasa ulitaka amtaje nani? Barbara au OOM.

Hao ndio wachezaji wetu ambao tunao.

Haya huyo Kalinyos ana shida gani?
kocha hajataka kumuweka nyie mnalazimisha aanze hakati hajui kitu
 
Sisi wananchi ubingwa wetu mwaka huu, Bora Mbeya city atufunge ili Simba tumfukuzie kwa mbali[emoji23]
 
Back
Top Bottom