Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sisi uvumilivu tunao sana shida iko huko kwenu upande wa pili mana mnavyopiga mdomo as if hamna kitu kafanya Yanga jana wakati tulimiliki mpira kwa kiasi kikubwa tu ila ndio hatukuwa na bahati pamoja na umakini kwa baadhi ya wachezaji hasa walipolikaribia lango kwani wengi walikuwa na pupa + papara.
Umenena vyema mtani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi uvumilivu tunao sana shida iko huko kwenu upande wa pili mana mnavyopiga mdomo as if hamna kitu kafanya Yanga jana wakati tulimiliki mpira kwa kiasi kikubwa tu ila ndio hatukuwa na bahati pamoja na umakini kwa baadhi ya wachezaji hasa walipolikaribia lango kwani wengi walikuwa na pupa + papara.
Watu wadikiliza kelele za mikia, unajua timu yetu, iko mpya kabisa, kama wachezaji wote waliocheza wanne tu ndiyo walikuwa Katika timu ya msimu uliopita. Hiyo. Lakini wamecheza vizuri, ni mambo madogo madogo, tumaini kocha atayafanyia kazi.
 
Goallllllllllllllllllllllll
Dakika 109 Senzo anaifungia ZoaZoa Fc Goli la 2
Zoazoa Fc 2 Prisons 1 Huyu Senzo ni balaa anawasumbua sana Prisons.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga need to strive to turn draws into wins to challenge for the title. They registered 14 draws last season, their worst record in 12 seasons.

Interestingly, half of the 14 draws last season came against opponents that they will face in the opening 7 matches this season
Hebu huko hujanisomesha. 😂😂😂😂
 
Hata la Kagere lilikua clear goli lakini pamoja na kwamba lilikataliwa lakini refa aliharibu mchezo, goli la 2 la Ihefu lingehesabiwa lazima ingewaongezea Ihefu nguvu ya kupambana zaidi tofauti na lilivyokataliwa. Pia kibendera aliamua tu kusawazisha makosa napo alifanya vile kwa sababu alijua matokeo yake hayaiathiri simba, still watakua mbele goli 2-1
Basi ihefu 2 simba 2
 
Yanga need to strive to turn draws into wins to challenge for the title. They registered 14 draws last season, their worst record in 12 seasons.

Interestingly, half of the 14 draws last season came against opponents that they will face in the opening 7 matches this season
Oooh! Word i can tell you is that the team which we have now is very different with that of the season of 2019/2020

#Usikariri
 
alafu mnakaratibu kagumu ..

Mbeya city ni nyepesi kwenu ila sasa mna kagera na mtibwa zote ugenini
 
Watu wadikiliza kelele za mikia, unajua timu yetu, iko mpya kabisa, kama wachezaji wote waliocheza wanne tu ndiyo walikuwa Katika timu ya msimu uliopita. Hiyo. Lakini wamecheza vizuri, ni mambo madogo madogo, tumaini kocha atayafanyia kazi.
Hakika Mkuu.
 
Kwa matumizi haya ya bilioni 20,lazima muwe mabingwa
FB_IMG_15994040043662888.jpg
 
Back
Top Bottom