Ramani hadi kwenye jezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duh!Mtavaa hiyo Atlas msimu huu mpaka mkome ,kilichokosekana hapo ni visiwa vya Shelisheli tu ila Madagascar ipo.
Mmh.Ramani hadi kwenye jezi
Jezi ina hips.. imechanua
HahahaaaaILA MAISHA HAYA JAMANI LOL [emoji848][emoji848]
View attachment 1566099
JEZI NAMBA MOJA BADO HATUJAIFUA HAPO. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Kabisaa.Huyo anayetaka visiwa a-google kwenye simu, siyo lazima tuweke kila kitu kwenye jezi yetu.
Tunajua lazima mteseke sana Mtani sababu hamna uhusiano hata kidogo hapo.