Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Jumapili kabla ya mechi yetu na Mbeya city tuimbe kwanza huu wimbo
'Tazama ramani utaona nchi nzuri yenye mito na mabonde mengi yanafaka'
Shadeeya tumeelewana?
Soma nembo hiyo hapo ndo utajua Yanga kuna wabunifu wa hali ya juu.
Young_Africans_SC_(logo).png
#YoungAfricans.​
 
Hii jezi yetu sasa nimeelewa ni kwa nini mbumbumbu waliisubiri kwa hamu kubwa sana. Bila shaka kuna mtu aliwatonya kwamba kuna Waya Wa hatari unakuja, ikabidi wawe wanaulizia kila siku chombo kinatua lini. Bonge moja la jeziiiii!!!
 
Hahahaaa. Kwa sasa tunawaambia wakinuna wawe na sababu kwani jezi zetu Mashallah.
 
Jezi nzuri ila hiyo ramani mmeiweka kubwa sana kiasi cha kwamba imepoteza mvuto..

Ila design ya mchanganyiko wa rangi ni super
Daah!! Ahsante Mtani afadhali umekuwa mkweli.

Naamini mwakani tutaboresha zaidi Mtani.
 
Back
Top Bottom