Sio kama nyie Mtani mumemtoa simba anayetisha kimuonekano munaweka Simba anakenua. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Timu yetu si inaitwa Yanga AFRIKA.......Hilo li ramani la kazi gani sasa.
Ni vitobo sio vidot.......Mbona kuna vidoi vya rangi nyupe wakati ni mwiko kabisa kuwa na rangi za Simba?
Hivì uto hamnaga jezi maalum za mazoezi? Mnatia aibu
Jezi nzuri ila hiyo ramani mmeiweka kubwa sana kiasi cha kwamba imepoteza mvuto..Tunajua lazima mteseke sana Mtani sababu hamna uhusiano hata kidogo hapo.
Hahahaaa. Kwa sasa tunawaambia wakinuna wawe na sababu kwani jezi zetu Mashallah.Hii jezi yetu sasa nimeelewa ni kwa nini mbumbumbu waliisubiri kwa hamu kubwa sana. Bila shaka kuna mtu aliwatonya kwamba kuna Waya Wa hatari unakuja, ikabidi wawe wanaulizia kila siku chombo kinatua lini. Bonge moja la jeziiiii!!!
Daah!! Ahsante Mtani afadhali umekuwa mkweli.Jezi nzuri ila hiyo ramani mmeiweka kubwa sana kiasi cha kwamba imepoteza mvuto..
Ila design ya mchanganyiko wa rangi ni super