Hii ya kulia ishatepeta. Lol
#Kufuliwabado. [emoji23][emoji23]
Wananuna haoo!!LEO UZI WETU TUNAUPENDEZESHA NA JEZI ZETU MPYA TU.
Huyu mwizi atakuwa ni msomi mana anajua kuchambua vitu kulingana na thamani!Wananuna haoo!!
Hahahaa kwa wale mabwenyenye, watoto was kamboKwa hii picha tuu tayari zaidi ya jezi 12000 zimeshauzwa. Idadi kubwa zaidi ya vijora vyote vilivyouzwa toka warembo fc wazindue madera yaoView attachment 1566511
Hahahaaa.Huyu mwizi atakuwa ni msomi mana anajua kuchambua vitu kulingana na thamani!View attachment 1567009
Ngoja waje walio kwenye magroup Mkuu naimani watakupa link.Naombeni links ya group LA whasapp kama ipo wanajangwani
Kwa nini hajaingia Barbara leo akawafungia goli la pili Mtani? ππππKwanini asiwe anaanza Senzo kwenye kikosi cha kwanza.
Kaka hivi na Mikia wanapataga sare kumbe?Pole sana kwa maumivu unayopitia
Sare ya ugenini na sare ya nyumbani, tofauti iko hapoKaka hivi na Mikia wanapataga sare kumbe? Mana walichonga sana sisi kupata point moja juzi. Lol
Mbona ukishinda ugenini huongeagi hizi maneno.Sare ya ugenini na sare ya nyumbani, tofauti iko hapo
Umefurahi sana.Kwa nini hajaingia Barbara leo akawafungia goli la pili Mtani? ππππ