Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ndugu yangu hii ndio shida ya kuzoea kubebwa, siku wakukubeba akiyumba kidogo tu ndiyo haya sasa. Mi nimeshangaa juzi walivyopaza sauti hadi nusu ya kuchanika midomo kisa sisi kutoa dro na prisons
Na wakae wajipange mana tukiwaacha kidogo tu ishakula kwao mana huu sio msimu wa wachezaji aina ya kina Yikpe.
 
Waambie wajue na yule chizi asipowika mechi mbili tatu ataanza yale mambo yake ya kususa. 🀣
 
Akitoa sare yanga mnaponda kweli ila nyie mkia mkitoa sare ndo mnajua kua mpira una matokeo matatu.
Mabwege nyieeee
Wanajua kusahau sana hawa jamaa. Juzi walitutia sana masingi kisa tumetoa sare.

Tuwaambie tu siku zote kuimba kupokezana.
 
Timu yetu Yanga bado sana kutwaa ubingwa wa ligi kuu, tusijidanganye Wakuu.

Daima mbele nyuma mwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…