Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ndugu yangu hii ndio shida ya kuzoea kubebwa, siku wakukubeba akiyumba kidogo tu ndiyo haya sasa. Mi nimeshangaa juzi walivyopaza sauti hadi nusu ya kuchanika midomo kisa sisi kutoa dro na prisons
Na wakae wajipange mana tukiwaacha kidogo tu ishakula kwao mana huu sio msimu wa wachezaji aina ya kina Yikpe.
 
Tuliposema hatutoi kibali cha Morriso nadhani hawakuelewa. Sisi tumeshikilia kibali chetu cha Sumbawanga, Tanga na Bagamoyo... Wao waache na kibali chao feki walichopewa na TifuaTifua(TFF) muone kama huyo Nguchiro atacheza msimu huu.... HATUTOI KIBALI CHA MORRISON KUCHEZA . Mashitaka yetu yalishafika makao makuu ya FIFA kule Sumbawanga. Pia tumeshitaki mahakama za CAS kule Bagamoyo
Waambie wajue na yule chizi asipowika mechi mbili tatu ataanza yale mambo yake ya kususa. 🤣
 
Akitoa sare yanga mnaponda kweli ila nyie mkia mkitoa sare ndo mnajua kua mpira una matokeo matatu.
Mabwege nyieeee
Wanajua kusahau sana hawa jamaa. Juzi walitutia sana masingi kisa tumetoa sare.

Tuwaambie tu siku zote kuimba kupokezana.
 
Back
Top Bottom