Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Kupata kioja kama hiki tuma neno Shadeeya kwenda namba 9866.Haya Mtani. Najua watakaza kufidia kile kipigo walichokipata juzi lakini naamini hata goli moja au mawili basi tutawafunga.
majisifu yanawaponza mikia scNi kweli kabisa. Simba akitoa sare ni sawa na kukiona cha moto, maana si kawaida yake
Kupata kioja kama hiki tuma neno Shadeeya kwenda namba 9866.
Aiseee!!! Ila bado muda tunao. 😎😎
Tukisubirie nacho mana naona wametukazia mbaya.Wacha tuone kipindi Cha pili
Hazina aisee kama youtube huko kila mtu anaandika live ukija kuweka nimsauti tu.game za bongo hazinaga links za kuangalia!?
UTOPOLO MATOKEOO VIIIIPIII...AU MPO BUSY NA KUUZA RAMANI YA AFRICA BADOOOOOO.......Tupeni matokeo
Hujui historia ya hio Klabu. ILA HUTAKI KUTITWAYanga mbele daima, nyuma mwiko.