Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
MaviiiiiKMC 4 Mbeya city 0
Yanga 1 Mbeya city 0
Umegundua nini hapo???????? KMC wanatimu bora kuliko Yanga hutaki acha sikulazimishi kukubali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MaviiiiiKMC 4 Mbeya city 0
Yanga 1 Mbeya city 0
Umegundua nini hapo???????? KMC wanatimu bora kuliko Yanga hutaki acha sikulazimishi kukubali.
Ntani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naamini kishabadilika jina sio kioja tena.
Baada ya mechi kumi kila mtu atarudi kwenye nafasi yake aliyoizoeaHIKI NDO KINALETA MAUMIVU. [emoji1787][emoji1787]
Tena Shukuruni Alphabet ndo imewabeba. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sisi tupo tunamuangalia kwa umakini kama kweli anafaa kwenye mipango yetuHuyu Mtoto tumpe muda zaidi kwani ni Mtu na nusu.
Kagera wanawasubiri kwa hamu3 muhimu sanaaaa!! Nilichogundua sasa hivi kila timu inayocheza na Yanga inakamia sana kwa sababu ya wachezaji wazuri tulio nao. Hata Simba watatukamia sana
Oohhoooo. Mechi 10 tena Lol.Baada ya mechi kumi kila mtu atarudi kwenye nafasi yake aliyoizoea
Hivi sisi ndo tunajua kuchagua eee?Na sisi tupo tunamuangalia kwa umakini kama kweli anafaa kwenye mipango yetu
Yes mechi kumi...Oohhoooo. Mechi 10 tena Lol.
Sio sana[emoji23][emoji23]Hivi sisi ndo tunajua kuchagua eee?
Hata tusubiri tuone Mtani.Yes mechi kumi...
Unafikiri hao Biashara na Dodoma wanakaa hapo mpaka lini!??
Muda utakapofika tutajua tu Nani ni Nani..
At least msimu huu naona kweli mnataka kutuchallenge ila hamtaweza
LolSio sana[emoji23][emoji23]
Ila huwa mnajitajidi ila huyu ngoja tumuangalie afya yake anaonekana goigoi
Hapa ni vyama kama wawili hivi!!Huyu Mtoto tumpe muda zaidi kwani ni Mtu na nusu.
Yanga ni Klabu bora ya muda wote nchini Tanzania na Afrika mashariki.Yanga mbele daima, nyuma mwiko.
Yanga ni timu ya wananchi.Yanga mbele daima, nyuma mwiko.
Tuwafanyaje mkuu? Ili tuwe na amani ya moyo.Wanajua kusahau sana hawa jamaa. Juzi walitutia sana masingi kisa tumetoa sare.
Tuwaambie tu siku zote kuimba kupokezana.
Kiuno hatari,