Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
relax huu ni ushabikiHii ndo sura yako au kwa sababu umeona hakuna aliyehangaika na Post yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
relax huu ni ushabikiHii ndo sura yako au kwa sababu umeona hakuna aliyehangaika na Post yako.
Juzi mlisema tukitoka nje ya Taifa hatuna chetu leo mnasema tukienda kwenye mashamba ya visiki. lol.Mnalo la kujiuliza hapo mtani, maana Mkienda kwenye yale mashamba yenye visiki vya miwa, utamuelewa huyo kalinyo wenu kwa nn alikimbizwa kwao
We ndio hujataka kurelax Mkuu.relax huu ni ushabiki
Tukutane tarehe 18, tuwanyoshe ShadeeyaJuzi mlisema tukitoka nje ya Taifa hatuna chetu leo mnasema tukienda kwenye mashamba ya visiki. lol.
Huko nako tutafanya wonders sijui mtasingizia nini Mtani.
Hatimaye mmekuona leo. Haya za kuadimika?
Njema aisee, nakuacha ujimwambafai, ili tar 18, uite maji "mma"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye mmekuona leo. Haya za kuadimika?
Dkk 90 zitaongea Mtani
Mmefurahi kusikia uko njema Mtani.Njema aisee, nakuacha ujimwambafai, ili tar 18, uite maji "mma"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Naona kocha baro anatafuta kikosi cha kwanza ila mabadiliko yameonekana walipoingia Niyonzima, Kaseke na Carlinho.Hakika kwani hatuko vibaya sana.
Umeamua uje na hii Mtani. Haya bana.Kweli uchawi upo.
Hayo magoli yenu ya kamati ya ufundi Yana mwisho wake
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mtajua hamjui aisee, acha tusubir ShadeeyaMmefurahi kusikia uko njema Mtani.
Hahahaaa. Ifike tu tukatage mzizi wa fitina Mtani na hapo ndo tutajua zile nne mlizipataje pataje. [emoji41][emoji41][emoji41]
Ahsante Mtani. 🤝Hongereni Ntan.. ila nadhan maneno yangu hujayasahau, tatizo lenu la kufumania nyavu bado halijapona, tegemea suluhu nyingi sana
Hakika tusubiri tuone Mtani kwani ni siku chache zimebakia.
Yambidi achangamke kupata first eleven kwani kadri tunavyosonga ndo na ligi inachanganya.Naona kocha baro anatafuta kikosi cha kwanza ila mabadiliko yameonekana walipoingia Niyonzima, Kaseke na Carlinho.
Viva Young Africans [emoji617]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi yenu leo ni kama haikua na plan kabisa, yani kuonyesha tu kwamba hii timu kuna kitu inatafuta hakuna, kuna kazi kubwa sana ya kufanyaAhsante Mtani. [emoji1666]
Sijayasahau Mtani na hapa inabidi lifanyiwe kazi hasaa kwani Sarpong naye ana mechi na mechi sababu kama hii ya leo utadhania hakuwepo vile, Yule Yacouba naye bado tia maji tia maji, Tuisila Pupa nyingi basi tabu tupu.
Kazi ipo kwa kweli Mtani hasa kwa Kocha.
Mkoko Tonong'ombe anafanya utulingishie, hujui sisi tunao wengi, naomba online siku hiyo, maana huchelewi kusingizia ..... ShadeeyaHakika tusubiri tuone Mtani kwani ni siku chache zimebakia.
Sijui ni macho yangu tu .. ila nadhani Tuisila anafaa kutumika kama "Mpango Maalumu" ukiacha upuuz wake wa hapa na pale yule jamaa ana pace moja hatari sana, probably kuliko full back yeyote yule atakae kutana nae..na ana uwezo mkubwa tu wa kugeuka na kuingia ndani, anafaa kutumika kama njia ya kupitisha mashambuli, ila awe na maelekezo, kupiga kross na V pass ziwe amuzi lake la kwanza, kufunga mwenyewe liwe amuz la mwsho, mtamfurahiaYambidi achangamke kupata first eleven kwani kadri tunavyosonga ndo na ligi inachanganya.
Na zile sub zimesaidia sana aisee kwani kukawa na uchangamfu wa timu.
"DaimaMbeleNyumaMwiko"