Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mmh!! Sasa walicheza kitu gani wale Biashara?

Pale hata 10 mlikuwa mnafunga.
Mnajitahidi kujifunika macho huku mkitembea uchi, mnadhani kwakua hamuoni basi na mtu mwingine hawaoni

Mbeya City mmecheza nae mkashinda kwa ndondokela hajashinda mchezo hata mmoja

Kagera kawatoa jasho hajashinda mchezo hata mmoja

Biashara unaidharau, imeshinda michezo miwili

anyway..let me tell you, club yenu kwa kujua what might happen , imetengeneza kitengo cha propaganda, na wako active kweli kweli kusamba upuuz ili nyie mashabiki msije shtuka wala kupiga kilele

mna michezo mitano sasa, yote mnaenda kibahati bahati, it's either 1-1 au 1-0, hakuna yeyote kati yenu ambae keshashtuka jambo, mnafuata whatever hicho kitengo kitakacho taka mpite nalo.. ili msiulize kitu baada ya mechi wakaja na hili jambo, Biashara ni timu dhaifu, mkashindwa kabisa jiuliza kama ni dhaifu imekuaje akawa na point 6 kwenye michezo ya kwanza miwili

timu mbili kati ya tatu mliocheza nazo nyie ziko kwenye mstar wa kushuka daraja, moja ya mwisho kabisa, ina maana zile ni bora kuliko Biashara? na michezo yenu yote mitano mmecheza taifa .. matokeo ni dhaifu hivyo hivyo yooote

shtukeni, tieni pressure timu na viongozi wenu, achana kupitiwa na hizo siasa uchwara.. tunacheza na gwambina, najua huko kitengo chenu tayari kina lake jambo, kitawasambazia na mtapita nalo
 
Hiyo theory haiapply kwenye soka. Mikia weeee.
 
[emoji3][emoji3]unachambua mchicha mpira haupo hivyo kabisa
 
Mmecheza na timu B mnajitapa[emoji23]
 
Hai applying kwenye mipira, kwasasa hapa tunajadili Rede, Simba inachaze mieleka, yanga wanacheza masumbwi
Wewe angalia tu mpira huo uchambuzi ni wa kiwango cha rough road, hujui kama team imetoka kufungwa hua inakua too aggressive?
 
Wewe angalia tu mpira huo uchambuzi ni wa kiwango cha rough road, hujui kama team imetoka kufungwa hua inakua too aggressive?
Nyinyi tu ndio mnakutana na timu zilizotoka kufungwa sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…