Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafanye mazoezi ya 'muunganiko' maana imekuwa ndio kisingizio 😁KIKOSI CHA TIMU YA WANANCHI KIMEENDELEA NA MAZOEZI KUJIWINDA DHIDI YA MTIBWA
Leo ndo umeibuka eee?Wafanye mazoezi ya 'muunganiko' maana imekuwa ndio kisingizio 😁
Mnajitahidi kujifunika macho huku mkitembea uchi, mnadhani kwakua hamuoni basi na mtu mwingine hawaoniMmh!! Sasa walicheza kitu gani wale Biashara?
Pale hata 10 mlikuwa mnafunga.
Hiyo theory haiapply kwenye soka. Mikia weeee.Mnajitahidi kujifunika macho huku mkitembea uchi, mnadhani kwakua hamuoni basi na mtu mwingine hawaoni
Mbeya City mmecheza nae mkashinda kwa ndondokela hajashinda mchezo hata mmoja
Kagera kawatoa jasho hajashinda mchezo hata mmoja
Biashara unaidharau, imeshinda michezo miwili
anyway..let me tell you, club yenu kwa kujua what might happen , imetengeneza kitengo cha propaganda, na wako active kweli kweli kusamba upuuz ili nyie mashabiki msije shtuka wala kupiga kilele
mna michezo mitano sasa, yote mnaenda kibahati bahati, it's either 1-1 au 1-0, hakuna yeyote kati yenu ambae keshashtuka jambo, mnafuata whatever hicho kitengo kitakacho taka mpite nalo.. ili msiulize kitu baada ya mechi wakaja na hili jambo, Biashara ni timu dhaifu, mkashindwa kabisa jiuliza kama ni dhaifu imekuaje akawa na point 6 kwenye michezo ya kwanza miwili
timu mbili kati ya tatu mliocheza nazo nyie ziko kwenye mstar wa kushuka daraja, moja ya mwisho kabisa, ina maana zile ni bora kuliko Biashara? na michezo yenu yote mitano mmecheza taifa .. matokeo ni dhaifu hivyo hivyo yooote
shtukeni, tieni pressure timu na viongozi wenu, achana kupitiwa na hizo siasa uchwara.. tunacheza na gwambina, najua huko kitengo chenu tayari kina lake jambo, kitawasambazia na mtapita nalo
[emoji3][emoji3]unachambua mchicha mpira haupo hivyo kabisaMnajitahidi kujifunika macho huku mkitembea uchi, mnadhani kwakua hamuoni basi na mtu mwingine hawaoni
Mbeya City mmecheza nae mkashinda kwa ndondokela hajashinda mchezo hata mmoja
Kagera kawatoa jasho hajashinda mchezo hata mmoja
Biashara unaidharau, imeshinda michezo miwili
anyway..let me tell you, club yenu kwa kujua what might happen , imetengeneza kitengo cha propaganda, na wako active kweli kweli kusamba upuuz ili nyie mashabiki msije shtuka wala kupiga kilele
mna michezo mitano sasa, yote mnaenda kibahati bahati, it's either 1-1 au 1-0, hakuna yeyote kati yenu ambae keshashtuka jambo, mnafuata whatever hicho kitengo kitakacho taka mpite nalo.. ili msiulize kitu baada ya mechi wakaja na hili jambo, Biashara ni timu dhaifu, mkashindwa kabisa jiuliza kama ni dhaifu imekuaje akawa na point 6 kwenye michezo ya kwanza miwili
timu mbili kati ya tatu mliocheza nazo nyie ziko kwenye mstar wa kushuka daraja, moja ya mwisho kabisa, ina maana zile ni bora kuliko Biashara? na michezo yenu yote mitano mmecheza taifa .. matokeo ni dhaifu hivyo hivyo yooote
shtukeni, tieni pressure timu na viongozi wenu, achana kupitiwa na hizo siasa uchwara.. tunacheza na gwambina, najua huko kitengo chenu tayari kina lake jambo, kitawasambazia na mtapita nalo
Mmecheza na timu B mnajitapa[emoji23]Mnajitahidi kujifunika macho huku mkitembea uchi, mnadhani kwakua hamuoni basi na mtu mwingine hawaoni
Mbeya City mmecheza nae mkashinda kwa ndondokela hajashinda mchezo hata mmoja
Kagera kawatoa jasho hajashinda mchezo hata mmoja
Biashara unaidharau, imeshinda michezo miwili
anyway..let me tell you, club yenu kwa kujua what might happen , imetengeneza kitengo cha propaganda, na wako active kweli kweli kusamba upuuz ili nyie mashabiki msije shtuka wala kupiga kilele
mna michezo mitano sasa, yote mnaenda kibahati bahati, it's either 1-1 au 1-0, hakuna yeyote kati yenu ambae keshashtuka jambo, mnafuata whatever hicho kitengo kitakacho taka mpite nalo.. ili msiulize kitu baada ya mechi wakaja na hili jambo, Biashara ni timu dhaifu, mkashindwa kabisa jiuliza kama ni dhaifu imekuaje akawa na point 6 kwenye michezo ya kwanza miwili
timu mbili kati ya tatu mliocheza nazo nyie ziko kwenye mstar wa kushuka daraja, moja ya mwisho kabisa, ina maana zile ni bora kuliko Biashara? na michezo yenu yote mitano mmecheza taifa .. matokeo ni dhaifu hivyo hivyo yooote
shtukeni, tieni pressure timu na viongozi wenu, achana kupitiwa na hizo siasa uchwara.. tunacheza na gwambina, najua huko kitengo chenu tayari kina lake jambo, kitawasambazia na mtapita nalo
Hai applying kwenye mipira, kwasasa hapa tunajadili Rede, Simba inachaze mieleka, yanga wanacheza masumbwiHiyo theory haiapply kwenye soka. Mikia weeee.
Wewe angalia tu mpira huo uchambuzi ni wa kiwango cha rough road, hujui kama team imetoka kufungwa hua inakua too aggressive?Hai applying kwenye mipira, kwasasa hapa tunajadili Rede, Simba inachaze mieleka, yanga wanacheza masumbwi
Mechi zote 3 wachezaj ni hao hao, wachezaji waliopata point 6 ni hao hao walicheza na Simba, Vikosi vyote hivyo hapoMmecheza na timu B mnajitapa[emoji23]View attachment 1576963
Nyinyi tu ndio mnakutana na timu zilizotoka kufungwa sio?Wewe angalia tu mpira huo uchambuzi ni wa kiwango cha rough road, hujui kama team imetoka kufungwa hua inakua too aggressive?
Ulikutana na mtibwa imetoka kupoteza nini kilikupata?Nyinyi tu ndio mnakutana na timu zilizotoka kufungwa sio?