Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Katika watu waliofaidika na Simba ni huyo Kassim Dewji aisee! Yeye alikua ni kiongozi tu(nadhani Katibu Mkuu) na wala sio mfadhili lakini alikua akiendesha timu kibabe sana. Akiwa ni miongoni mwa wanachama wa FoS ndio waliokua wanaikopesha timu kwa riba kubwa sana. Kwa mfano kwa kila 10mil wanayitoa kwa club walikua wanachukua 15mil tena kwa muda mfupi, baada tu ya mechiMkataba na uhlsport au Kassim Dewji ? Ukiwa na mkataba hulipwi ? Je unajua kilichomo humo ktk huo mkataba ?
GSM godoro mkataba ake upoje? Yanga inatangazaje GsM GODORO?Mzee baba, nikusaidie kunyoosha maelezo
Hapa umezungumza mikataba miwili , na ukaongeza jambo ambalo hujui limetokea wapi, naweka kumbukumbu sawa
Yanga na GSM mkataba wenu wa Jersey Yanga itapata 1300 tu kwa kila Jersey, lakn pia GSM atatakiwa kukarabati Jengo lenu, hili swala la maduka sio sehemu ya mkataba, ni mambo tu aliyomua kufanya, hakuna pesa inayotulewa hapa "200mil" (i stand to be corrected) ni Maneno ya mwenyekiti wenu Sept 2 mwaka jana
Mkataba mwingine ni mkataba kati ya Yanga na Godoro chapa GSM , huu una thamani ya 150mil kwa mwaka , ni mikataba miwili tofaut hiyo sio mmoja
Kwenye mkataba wa Jersey, mwenyekiti alikua na projections ya mauzo ya jezi yawe mil 1 kwa msmu ili club ipate 1.3 B
kitu ambacho kishakua ndoto tayari
We mnyero hata ile b 20 ya uwekezaji miaka 3 sasa sound,una uhakika gani hizo helaza uhl kama zimetoka,halafu hii thread ya Yanga,mambo ya mbu3 kaanzishie uzi wake au nenda kwenye uzi wenu,muda wote upo kwenye uzi huu kuliko ule uzi wenu,au unatafuta basha humu?Linahusiana nini na mkataba wa Uhlsport vs Simba ?? Kwasababu pengine ana historia yake so we shouldn't say club ilicho kubaliana na Uhlsport??
mbona unaleta sababu za ki layman kabisa bro, ungesema pesa hazikulipwa pengine ungeleeweka na sio huo utopolo ulio andika hapo
Kuna jamaa yako humu anamuamini sana kd,kutwa kuitaja uhlsport hapa,kd msimu wa mwaka juzi kwa kushirikiana na ndama waliivalisha Yanga jezi 8 msimu mzima wajinga wale,mpaka kuna match na simba kipindi cha joto wachezaji wakaveshwa matracksuit,jamaa wezi sana wale,hata sababu ya jezi za Yanga kuchelewa ni wao,jezi ambazo zingezinduliwa siku ya mwananchi zilivuja,gsm angejichanganya kidogo tu mapirates wangempiga vibaya,ndio ile kucancel na kuleta hz za sasa,wajinga mzigo wao upo kwenye macontainerDah! Katika watu waliofaidika na Simba ni huyo Kassim Dewji aisee! Yeye alikua ni kiongozi tu(nadhani Katibu Mkuu) na wala sio mfadhili lakini alikua akiendesha timu kibabe sana. Akiwa ni miongoni mwa wanachama wa FoS ndio waliokua wanaikopesha timu kwa riba kubwa sana. Kwa mfano kwa kila 10mil wanayitoa kwa club walikua wanachukua 15mil tena kwa muda mfupi, baada tu ya mechi
Kinachowasaidia jamaa wa asili ya Kiasia ni uhodari wa kunusa hatari inayokuja mbele na kujiwekea ngao. Katika lile sakata la pesa za Okwi lililowaweka ndani Aveva na Kaburu sijui jamaa aliokoka vipi maana kuna watu wanasema yeye ndio master mind wa ule mpango wa kuchepusha ule muamala lakini mwenyewe anakaa mbaaali kabisa na ushahidi wowote utakao mu implicate
Manyani kwenye ubora wenu, punguza kubweka kama mbwa, ongea pointWe mnyero hata ile b 20 ya uwekezaji miaka 3 sasa sound,una uhakika gani hizo helaza uhl kama zimetoka,halafu hii thread ya Yanga,mambo ya mbu3 kaanzishie uzi wake au nenda kwenye uzi wenu,muda wote upo kwenye uzi huu kuliko ule uzi wenu,au unatafuta basha humu?
Kwahiyo umejibu bila kusoma?? aiseeGSM godoro mkataba ake upoje? Yanga inatangazaje GsM GODORO?
Usalama wa hii app ukoje, usije leta shida kwa simuUSIKOSE KUITAZAMA MECHI YA MTIBWA SUGAR VS YANGA LIVE PAKUA APP YETU HAPA [emoji117][emoji117][emoji117]Download application | J FOOTBALL & MOVIE TVS
Bro, kwa sisi tunaoishi na wazungu hilo tusi ni mwiko mkubwa sana na nitajisikia aibu kama wakijuwa sisi watanzania tumefikia kuitana hivyo. I don't condone that name at all. Hata kwenye soccer, hilo jina linapingwa sana.Kwahiyo umejibu bila kusoma?? aisee
Lucy alikua sahihi, manyani ni Manyani tu, wewe hujaona huko nimesema kuhusu mkataba wa gorodo??
Nyinyi watu bana, hua mnafurahisha sanaBro, kwa sisi tunaoishi na wazungu hilo tusi ni mwiko mkubwa sana na nitajisikia aibu kama wakijuwa sisi watanzania tumefikia kuitana hivyo. I don't condone that name at all. Hata kwenye soccer, hilo jina linapingwa sana.
But anywayz, nimesome majibu yako na ndiyo maana nikaja na swali hilo. Hiyo hydroform actually ni kit sponsorship ambayo ipo guaranteed. Kwenye kit deals wanaita retainer na ninakwambia Yanga ana-retain 200m kutoka GSM automatically (Jengo la Club na uwanja wa Kaunda hauwezi kufanyiwa maintanance sasa hivi, kuna mradi mkubwa wa kupitisha maji ya mafuriko na ramani inaonyesha uezekano mkubwa wa uwanja na jengo kubomolea na kulipwa fidia. Ndio maana GSM anasimamia kwa kiasi kikubwa kambi.
Halafu, pamoja na retainer, kuna bonus based on perfomance, na royalties. Sasa hiyo royalties wewe ndiyo unaona ni mkataba mzima wa kit supply na hiyo siyo kweli.
Hata mkataba wa Simba na uhl, kuna clauses nyingi na siyo 300m guaranteed it can be lower au higher up to a billion in 2 years. Yanga waliwahi kusaini 2bn kwenye jerseys matokeo yake hawakuambulia hata robo, sababu ya clauses kuwabana.
Ni sawa na wee ukisikia Snura kapata ubalozi kwa 400m. Hiyo ni maximum kama kila kitu kitakuwa perfect, na sidhani kama hutokea hata 10% ndiyo maana unaona wanalalamika.
Kwa sababu mimi najua biashara ya mpira, naeka Hydroform kama sehemu ya mkataba wa kit supply i.e sposorship as a caviat. Wewe endelea na unavyoamini kwa sababu haipunguzi wala kuongeza chochote.Nyinyi watu bana, hua mnafurahisha sana
Nyinyi mnaona sawa kabisa kuita mtu "Mbumbumbu" yani fresh kabisa hakuna tatizo lolote
Lkn nyie mkiitwa manyani au kubweka kama umbwa ambayo kihistoria , haya yote mawili yalipatikana kwa mtindo mmoja , mnaanza tia huruma, hamtaki itwa manyani usiite mtu Mbumbumbu, ukiita hivyo jua manyani liko nawe
Mkataba wenu na GSM upande wa godoro ni kama ilivyo mkataba wenu na Taifa Gas , ukishindwa kuelewa na hapo .. basi endeleea kuuweka sehemu moja na mkataba wa kutengeneza na kuuza jersey zenu
Nenda jukwaa lenu mikia fc.Manyani kwenye ubora wenu, punguza kubweka kama mbwa, ongea point
Lucy Emily adumu milele
Pole Mtani.simba hata tukishinda magoli 10 lakin bado tukawa tumelingana points na yanga haileti raha.
nawaombea yanga leo mpate sare, ili nikianza kuwabeza niwe na fact sahihi.
Asanteni.
Duuh!! Japo naona Carlinho kaanza leo.Daa tunammis tena farid ila nilisikia ni majeruhi. Haruna naona kama hakupaswa kuanzia benchi,mtibwa watakamia sana hii mechiView attachment 1582407