Ramos wetu anaonyesha kaabisa ndio baba mwenye timuLAMINE MORRRROOOOOO
Kafunga magoli mangap mpka sasa? Au ubaya wake nn?Huyu carlinos mbayaa sana kwenye dead balls
Aiseee kwenye hizi huyu tumuite Mtu na nusu.Huyu carlinos mbayaa sana kwenye dead balls
Bado unanitafuta? 😂
Yah!! Anatupigania sana aisee.Ramos wetu anaonyesha kaabisa ndio baba mwenye timu
Kwani unateseka Mkuu? 🤣🤣🤣🤣Kafunga magoli mangap mpka sasa? Au ubaya wake nn?
Jibu hayo maswal. Questions goes with factsKwani unateseka Mkuu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hajapata direct free kicks nyingi..sana sana anapiga kona hatari sanaa sasa unataka afunge kona?Kafunga magoli mangap mpka sasa? Au ubaya wake nn?
Pole yako. Na bado utauliza sana maswali.Jibu hayo maswal. Questions goes with facts
MBUMBUMBU HUYO KASHINDWA KUZUIA HISIA ZAKE. 🤣🤣🤣🤣Hajapata direct free kicks nyingi..sana sana anapiga kona hatari sanaa sasa unataka afunge kona?
Kumbe ww wale mdada wa mtaan. Wenye zle lugha dada. Always questions goes with answersPole yako. Na bado utauliza sana maswali.
Vikizidi kunywa maji.