Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Niwajinga sana, kama wanahamu ya kutukana na kutoa kashfa waende kwenye jukwaa lao la mikia fc. Hizi kashfa na matusi kila mtu anaweza, tukiamua kwa umoja wetu kama mashabiki wa Yanga tuliomo humu wataweza kuvumilia??
Kabisaaa Mkuu!! Na hawaezi vumilia hata kidogo.

Ila wacha tugange ya Coastal sasa kama sijakosea next match.
 
hahahaaaa! wacha weeeh... najua mnaishi yanga kwa stress ila mnajitoa ufahamu tu.
hongereni watani
Sometimes sitiresi hazizuiliki Mtani ila tukishapata points tatu ka hivi basi maisha yanakuwa burdaani.

Najua hapo kwa huu msimamo according to post no #13224 😀 basi hakuna cha kuwapigisha kelele iiiivo cha zaidi mnaombea tu ligi iendelee ili tujuane huko mbele kwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…