Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkibadilika kweli kutakua na battle, ila mkiendelea hiv hiv, nyinyi na Azam ni swala la Muda tuThis season yawahitaji mkubali hiyo battle kwani atuezi kubali mutuache mbali.
Tusubiri tuone.Mkibadilika kweli kutakua na battle, ila mkiendelea hiv hiv, nyinyi na Azam ni swala la Muda tu
Yanakuhusu.????b
beki anaongoza kuwa na magoli kuliko washambuliaji, maajabu hayaaa!
teh! kwel hayanihusuYanakuhusu.????
Hahahahahahahahah Nimecheka sana sana Dah Hahahahahahahahah.
FURAHA NDO KILA MWANANCHI ANAHITAJI.
View attachment 1583141
Tulishazowea Dude kama hili tunaliamsha Taifa mpaka Kkoo sasa jana sijui waliishia wapi hawa. 😂😂
[/QUOTE
Kwamba hawakua na uhakika wa ushindi pengine?
Kagoli kenyewe kamoja kama ka dawa. Mngekua na uwezo wa kupiga 4G kama zile tulizo wazawadia kwenye kombe la shirikisho watu tungekunywa hata maji kweli!!!?😀😀😀
Cheka tu bado tarehe 18 sisi tunaokaa huko vijijini hatutapanda daladala siku hiyo. 🤣🤣🤣Hahahahahahahahah Nimecheka sana sana Dah Hahahahahahahahah.
Kwani mechi ya mwisho Ligi Kuu kati ya sisi na wewe tumekufunga ngapi si moja tu ambalo maumivu yake hayajafutika mpaka leo.Kagoli kenyewe kamoja kama ka dawa. Mngekua na uwezo wa kupiga 4G kama zile tulizo wazawadia kwenye kombe la shirikisho watu tungekunywa hata maji kweli!!!?😀😀😀
Hiyo ni mechi ya kale bana, ya karibuni ni ile ya 4G😀😀😀Kwani mechi ya mwisho Ligi Kuu kati ya sisi na wewe tumekufunga ngapi si moja tu ambalo maumivu yake hayajafutika mpaka leo.
Maji ulikunywa siku ile? 😎😎😎
Lol. Nyie mmetufunga FA bana yaani zikija takwimu za namna tumekutana mechi za ligi kuu basi mechi ya mwisho nyie ndo mlilia.Hiyo ni mechi ya kale bana, ya karibuni ni ile ya 4G😀😀😀
Hahahaaa, utakubali kushindwa basiiLol. Nyie mmetufunga FA bana yaani zikija takwimu za namna tumekutana mechi za ligi kuu basi mechi ya mwisho nyie ndo mlilia.
Ila kwenye FA nyie ndio mlicheka.
Ila mashabiki wa Chura FC acheni uhuni wa kishamba wa kushambulia mashabiki wa SSC. Kumbukeni na hao pia wanapokuja kutazama mechi zenu wanasaidia kuchangia mapato yenu
Daah!! Kunijumuisha humo ni sawa na kunionea ujue?Ila mashabiki wa Chura FC acheni uhuni wa kishamba wa kushambulia mashabiki wa SSC. Kumbukeni na hao pia wanapokuja kutazama mechi zenu wanasaidia kuchangia mapato yenu
Najua wewe huwezi hata kufikiria kufanya fujo kama zile kwani ustaarabu na uadilifu wako si wakutiliwa shaka hata kidogo Shadeeya. Ila ulitakiwa kukemea tabia ile kwa kinywa kipana, bila kusita wala kuyumbaDaah!! Kunijumuisha humo ni sawa na kunionea ujue?
Mapato hayo kwa watu watano sijui sita? 😳 wangekuwa kilichowapeleka ni kuongeza mapato wangetulizana pale walipokuwa wamekaa mwanzo na sio kuhangaika kama wafanyabiashara.