Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200929_143508.jpg
 
Hujambo lakini Shadeeya? Bilashaka tarehe 18 panapo majaaliwa mtaleta kikosi kamili ili kusiwe na sababu kwamba Kalinyo alikua anaumwa, sijui Sapongo kaitwa na wakwe zake!😀
Mie Alhamdulillah uzima ninao.

Hiyo tarehe 18 munaipigia kelele ila itakapofika wenyewe mtafunga midomo. Hamchelewi kusingizia uchawi.
 
Mtani mmeamua kuacha kucheza mpira na kuanza kupiga mashabiki wa timu zingine Shadeeya?

Mtaweza kuvumilia na mashabiki wa timu zingine wakianza kulipa kisasi cha kipigo dhidi yenu ?
 
UKISOMA MARA MBILI KAMA HUJAELEWA NDO BASI TENA. 🤣
20200929_173546.jpg
@YangaSc.
 
Mtani mmeamua kuacha kucheza mpira na kuanza kupiga mashabiki wa timu zingine Shadeeya?

Mtaweza kuvumilia na mashabiki wa timu zingine wakianza kulipa kisasi cha kipigo dhidi yenu ?
Kwani walipigwa mpira ukiwa unaendelea Mtani? Pale msiishie kuwalalamikia walio wapiga inatakiwa mujiulize kilitokea nini mpaka wakapigwa mana mwanzoni walikuwa wametulia tu na hakuna aliyekuwa na habari nao.

Uzuri mashabiki wetu wakija kwenye mechi zenu huwa hawana vimbelembele + viherehere sa sijui mtawapiga saa ngapi.
 
Mtani mmeamua kuacha kucheza mpira na kuanza kupiga mashabiki wa timu zingine Shadeeya?

Mtaweza kuvumilia na mashabiki wa timu zingine wakianza kulipa kisasi cha kipigo dhidi yenu ?
Msikilize mtu kama huyu unamwelewaje? Chukulia ndo anakwambia wewe sasa?
 
Back
Top Bottom