Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu kwa Wananchi!! Naona unaanza kuja kuja. 🤣🤣🤣Picha ya hawa watoto inapendeza
Subutuuu🤣🤣🤣Karibu kwa Wananchi!! Naona unaanza kuja kuja. 🤣🤣🤣
Mie Alhamdulillah uzima ninao.Hujambo lakini Shadeeya? Bilashaka tarehe 18 panapo majaaliwa mtaleta kikosi kamili ili kusiwe na sababu kwamba Kalinyo alikua anaumwa, sijui Sapongo kaitwa na wakwe zake!😀
lolSubutuuu🤣🤣🤣
Basi mamii tusiandikie mate na wino ungalipo, tuombe uzimaMie Alhamdulillah uzima ninao.
Hiyo tarehe 18 munaipigia kelele ila itakapofika wenyewe mtafunga midomo. Hamchelewi kusingizia uchawi.
Hakika!! Tuombe uzima Insha Allah.Basi mamii tusiandikie mate na wino ungalipo, tuombe uzima
Kwani walipigwa mpira ukiwa unaendelea Mtani? Pale msiishie kuwalalamikia walio wapiga inatakiwa mujiulize kilitokea nini mpaka wakapigwa mana mwanzoni walikuwa wametulia tu na hakuna aliyekuwa na habari nao.Mtani mmeamua kuacha kucheza mpira na kuanza kupiga mashabiki wa timu zingine Shadeeya?
Mtaweza kuvumilia na mashabiki wa timu zingine wakianza kulipa kisasi cha kipigo dhidi yenu ?
Msikilize mtu kama huyu unamwelewaje? Chukulia ndo anakwambia wewe sasa?Mtani mmeamua kuacha kucheza mpira na kuanza kupiga mashabiki wa timu zingine Shadeeya?
Mtaweza kuvumilia na mashabiki wa timu zingine wakianza kulipa kisasi cha kipigo dhidi yenu ?
Mara 27.Hivi Yanga imechukua ubingwa Ligi ya Tanzania
Mara 22 au 27?!
Kwanini hapa imeandikwa 22Mara 27.
Umetishika eeh Shadeeya? Chezeni mpira bana, acheni visingizioMsikilize mtu kama huyu unamwelewaje? Chukulia ndo anakwambia wewe sasa?
View attachment 1584631
Sijajua Mkuu sababu kama hapa wameandika ni bingwa mara 27.Kwanini hapa imeandikwa 22View attachment 1584644
Hakuna anayetoa visingizio. Nyie mnaojaji kwamba wamepigwa kwa sababu gani ndo mnatakiwa muone hao mashabiki wenu walivyo na mahovyo hovyo.Umetishika eeh Shadeeya? Chezeni mpira bana, acheni visingizio