Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kwani kasema wawapige ?Msikilize mtu kama huyu unamwelewaje? Chukulia ndo anakwambia wewe sasa?
View attachment 1584631
Na haiwezi kuwa justification ya nyie kupiga mashabiki wa Timu zingine.
Huu ni ushamba tu