Shida viongozi. Unasijili wachezaji then unatufuta kocha umewahi kuona hilo.Huyu kocha tulimchukua bila kufanya utafitiView attachment 1589511
Wanajijua wahusika, halikukuhusu hilo, hapo lazima uone kirumi tuSiku ya mwananchi inatosha. AU Mwananchi day inatosha.
Mimi nilisema yanga hii sioni wa kumuweka bench niyonzima nikaishia kutukanwaKitendo cha kumpiga benchi Haruna na Farid ni sababu tosha kabisa ya kumfukuza kocha. Kwanza tumemchelewesha sana ilifaa afukuzwe tu sare ya kwanza na Prisons
Kuku wewe!.UKWELI MCHUNGU LAKINI WAPASWA KUSEMWA
HUYU KALINYOS MCHEZAJI WA KAWAIDA KABISA MCHEZAJI TOKA NJE ANALIPIWA PESA NYINGI KUANZIA MSHAHARA KIBALI TICKET ZA NDEGE KWENDA NA KURUDI KWAO LAZIMA AWE TOFAUTI HUYU KWA NIYONZIMA NA FEISAL HAINGII HATA MARA KUMI
YACOUBA HUYU SIO YULE ALIYEKUJA NA ASANTE KOTOKO KUCHEZA NA SIMBA
YANGA HII SIONI MTU WA KUMUWEKA NIYONZIMA NJE
NASISITIZA KISINDA NI MACHACHARI LAKINI SI HATARI LAKINI AKIAMUA KUCHEZA KWA FAIDA YA TIMU ATAKUWA HATARI
YULE SARPONG TOFAUTI YAKE NA YIKPE NI RASTA TU
MUKOKO MCHEZAJI ATAWASAIDIA YANGA
ni kwel mtaijenga timu yenu ila ika itakuwa ni kwa kuchelewa, zimebaki week 2 mkutane na simba angalieni msije mkapigwa nyingi huku mkiendelea kutafuta muunganikoKufukuzwa kwa huyu kocha kutaibadili sana timu yetu na hatimae tutaanza kushinda kwa kuburudika pia. Hata Mikia Naamini wataiona impact ya kufukuzwa kwa huyu mwalimu!
Mbona kama muna wasiwasi?Kwa uchezaji huu wa kushinda ubingwa labda muibe kombe
Tangia lini Coastal akawa toto la Yanga? π³π³Leo mko na toto lenu, pigeni basi walau 3-0 ..muoshe nyota
Mechi ni saa moja usiku. Kuhusu ushindi leo ni 3+
Hakika haka kajamaa kama juzi hamna kitu kalikuwa kanafanya aisee.Timu yetu imekosa ubunifu.....kati ya Calinyo inatakiwa ampishe Niyonzima
Hivi Ses uliweza kuzisubiria hizo za mwamuzi au ndo ukaishia njiani?π π πShadeeya hapo alipo, kama yupo uwanjani au anatazama kwa luninga bilashaka roho itakua mara inachomoka mara inarudi maana sio kwa pira linalopigwa huku Wagosi wa Kaya wanakaza si kawaida. Tusubiri lakini dakika 90 za mwamuzi
πππ Hivi saa goli zinafungwa wale vyafujo walikuwepo kweli hapa jukwaani au ndo walishasepa ππMatokeo si hayo sasa,unamuwekaje Nio njeeee
2-0
Tulishasema watageuka sana kuwa wachambuzi uchwara mwaka huu. πππUmeongea pumba tu. Angalia kuku wasikudonoe
Aisee!! Sasa tulimsajili wa nini kuharibu pesa tu sababu za chini chini nasikia yule Cedrik Kaze ambaye mwanzoni ndo alitajwa sana baadae wakasema ana matatizo ya kifamilia ndo inasemekana anaeza kuja huyo.Kocha ametimuliwa Shadeeya View attachment 1589507
Umefanya nimecheka duuh!!Kitendo cha kumpiga benchi Haruna na Farid ni sababu tosha kabisa ya kumfukuza kocha. Kwanza tumemchelewesha sana ilifaa afukuzwe tu sare ya kwanza na Prisons
Mi nachokaga sana inapofikia hapa sababu mwisho wa siku si ajabu wakaleta garasa lingine mpaka msimu unakwisha tunabakia kutoleana macho tu.Viongozi wetu msifanye tena makosa, Lwandamila yupo huru, ana jicho la kuona vipaji, ana improve vipaji, ana uelewa na soka la Tanzania na Africa, ni kati ya makocha wachache wanaoheshimika kitaalam Africa, achanen na wazungu.