Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

UKWELI MCHUNGU LAKINI WAPASWA KUSEMWA

HUYU KALINYOS MCHEZAJI WA KAWAIDA KABISA MCHEZAJI TOKA NJE ANALIPIWA PESA NYINGI KUANZIA MSHAHARA KIBALI TICKET ZA NDEGE KWENDA NA KURUDI KWAO LAZIMA AWE TOFAUTI HUYU KWA NIYONZIMA NA FEISAL HAINGII HATA MARA KUMI

YACOUBA HUYU SIO YULE ALIYEKUJA NA ASANTE KOTOKO KUCHEZA NA SIMBA

YANGA HII SIONI MTU WA KUMUWEKA NIYONZIMA NJE

NASISITIZA KISINDA NI MACHACHARI LAKINI SI HATARI LAKINI AKIAMUA KUCHEZA KWA FAIDA YA TIMU ATAKUWA HATARI

YULE SARPONG TOFAUTI YAKE NA YIKPE NI RASTA TU

MUKOKO MCHEZAJI ATAWASAIDIA YANGA
Kuku wewe!.
 
Kufukuzwa kwa huyu kocha kutaibadili sana timu yetu na hatimae tutaanza kushinda kwa kuburudika pia. Hata Mikia Naamini wataiona impact ya kufukuzwa kwa huyu mwalimu!
ni kwel mtaijenga timu yenu ila ika itakuwa ni kwa kuchelewa, zimebaki week 2 mkutane na simba angalieni msije mkapigwa nyingi huku mkiendelea kutafuta muunganiko
 
Shadeeya hapo alipo, kama yupo uwanjani au anatazama kwa luninga bilashaka roho itakua mara inachomoka mara inarudi maana sio kwa pira linalopigwa huku Wagosi wa Kaya wanakaza si kawaida. Tusubiri lakini dakika 90 za mwamuzi
Hivi Ses uliweza kuzisubiria hizo za mwamuzi au ndo ukaishia njiani?😅😅😅
 
Kitendo cha kumpiga benchi Haruna na Farid ni sababu tosha kabisa ya kumfukuza kocha. Kwanza tumemchelewesha sana ilifaa afukuzwe tu sare ya kwanza na Prisons
Umefanya nimecheka duuh!!

Ila viongozi wachuje vyema bana mambo ya kubadilisha kocha huku ndo mwaanzo kabisa wanatupoteza kwani huyo naye akija lazima apewe muda wa kuitafuta fyziksi sijui kemisitiriy.
 
Viongozi wetu msifanye tena makosa, Lwandamila yupo huru, ana jicho la kuona vipaji, ana improve vipaji, ana uelewa na soka la Tanzania na Africa, ni kati ya makocha wachache wanaoheshimika kitaalam Africa, achanen na wazungu.
Mi nachokaga sana inapofikia hapa sababu mwisho wa siku si ajabu wakaleta garasa lingine mpaka msimu unakwisha tunabakia kutoleana macho tu.
 
Back
Top Bottom