Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hakika!! Japo haisaidii hiyo Swahiba.Tifu tifu wamewaweka viongozi waandamizi wa Yanga kwenye lile likamati lao,ili wapate sympathy ya wanayanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika!! Japo haisaidii hiyo Swahiba.Tifu tifu wamewaweka viongozi waandamizi wa Yanga kwenye lile likamati lao,ili wapate sympathy ya wanayanga
Lile timu lao wenyewe,wanataka likifungwa watusingizie sisi while uwanjani wamejaza mikiaHakika!! Japo haisaidii hiyo Swahiba.
Wahindi wengi ni Lunyasi sasaa sipati picha anavyokucheka hasa baada ya zile nne au arobaa🤪🤪🤪Mie Alhamdulillah uzima ninao nipo napambana na hali yangu hapa kwa Muhindi.
Hahahaaa. Kumbuka kilichomkuta hadi akataka tuandamane. 😂😂😂Manara mtoto wa mjini bana, usimfananishe na wa kijijini
Kwanza ile wiki nilikuwa nafanya kazi huku nimenuna sikumpa mtu nafasi ya kunitania na hata kunicheka. 😂😂😂 TehWahindi wengi ni Lunyasi sasaa sipati picha anavyokucheka hasa baada ya zile nne au arobaa🤪🤪🤪
Salaaaleee, baada ya November saba si utanuna hadi January 2021😂😂😂😂Kwanza ile wiki nilikuwa nafanya kazi huku nimenuna sikumpa mtu nafasi ya kunitania na hata kunicheka. 😂😂😂 Teh
Hahahahaa!! It depend.Salaaaleee, baada ya November saba si utanuna hadi January 2021😂😂😂😂
Bora itapofika tarehe sita novemba upande Raha Leo wende zako Makororaaa au Majani Mapana uondokane na adha, kero na uchungu wa zilzila na zahma inayowasubiri, usije ukasema sijakwambiaHahahahaa!! It depend.
Kafanya vzr huko au ,una takwimu zake za huko alikopita ?Huyo jamaa nimzuri sana kacheza league mbalimbali kama league 1 ya ufaransa, uholanzi na uturuki na league ya kwao. sema labda ashindwe kudeliver kwa sababu ya umri kusogea inaonesha ana miaka 33 kwa hyo kuna vitu kwa sababu ya umri atashindwa kuvifanya kwa ufasaha.
Oooh!! 🙏🙏Huyo jamaa nimzuri sana kacheza league mbalimbali kama league 1 ya ufaransa, uholanzi na uturuki na league ya kwao. sema labda ashindwe kudeliver kwa sababu ya umri kusogea inaonesha ana miaka 33 kwa hyo kuna vitu kwa sababu ya umri atashindwa kuvifanya kwa ufasaha.
Mmesajiri kwa bure, huyo analipwa mshahara tu, ila anaweza kuleta impactNimetoka kapa leo Wanajangwani wenzangu sijaelewa juu ya huyu jamaa. [emoji848]
Mgagaa na Upwa
Injili ya Gheto
kidunula1
Chikwuemeka
babu na mjukuu
bullar
kyata
Pweza Boy
kishumbaz
Na wengineo wengi.
Huyu mchezaji amecheza Ligue one ufaransa,Uholanzi pia na nchi kadhaa,then akarudi Burundi kujiunga na Vital O ,inasemekana kocha ndiye alimpendekezaNahitaji kueleweshwa zaidi kuhusu usajili wa huyu jamaa na background yake hatujapigwa hapa?
Mtani nadhani ipo haja ya kujua pia hivi vitu mana hiyo age yake. Mmmmh.Kafanya vzr huko au ,una takwimu zake za huko alikopita ?