Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyo jamaa nimzuri sana kacheza league mbalimbali kama league 1 ya ufaransa, uholanzi na uturuki na league ya kwao. sema labda ashindwe kudeliver kwa sababu ya umri kusogea inaonesha ana miaka 33 kwa hyo kuna vitu kwa sababu ya umri atashindwa kuvifanya kwa ufasaha.
 
Kafanya vzr huko au ,una takwimu zake za huko alikopita ?
 
Oooh!! πŸ™πŸ™

Hivyo tumemchukua akitokea timu gani?
 
Nahitaji kueleweshwa zaidi kuhusu usajili wa huyu jamaa na background yake hatujapigwa hapa?
Huyu mchezaji amecheza Ligue one ufaransa,Uholanzi pia na nchi kadhaa,then akarudi Burundi kujiunga na Vital O ,inasemekana kocha ndiye alimpendekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…