Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Zilikua ni dakika tatu zilizokupa pressure na wasiwasi mkubwa bilashaka😀😀😀Zimeongezwa dkk 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilikua ni dakika tatu zilizokupa pressure na wasiwasi mkubwa bilashaka😀😀😀Zimeongezwa dkk 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naangalia magoli yenu hapa, ile penalty mlipewa zawadi ,
Mtani nasikia mko uwanjani eti? 😂😂😂naona KMC wamechachamaa kwel kwel...
Lol. Mtani Eti kuna habari gani huko Uwanja wa Bibi? 😂😂😂Hongera kwa ushindi wa Rose Muhando. (nibebe)😝😝👏👏👏
Na yeye awe mwamuzi siku moja aone kama ni kazi rahisi wanafanya pale Uwanjani.Manara kasha anza lawama huko
Dooooh!! Kama nakuona. 😂😂😂Hamna timu humo msidanganyike
Huyu bundi mnaye mwaka huu. 😂😂Zilikua ni dakika tatu zilizokupa pressure na wasiwasi mkubwa bilashaka😀😀😀
Nilikua nahesabu dakika najua ungekuja tu😀😀😀Mtani nasikia mko uwanjani eti? 😂😂😂
Bundi kwa Ulaya ni dalili ya bahati na mafanikio Shadeeya, ni suala la muda tu kabda hatujakaa kwenye nafasi yetu ya siku zote, nafasi inayotustahiki, nafasi ya kwanzaHuyu bundi mnaye mwaka huu. 😂😂
Muhindi alibana leo nikawa busy kutwa hapa ndo napata chance ya kushika simu.Nilikua nahesabu dakika najua ungekuja tu😀😀😀