The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Kwa hiyo mkifungwa nyie ndio mnajua kua kuimba ni kupokezana? Ila wakifungwa yanga ni utopolo siokuimba kupokezana mtani, mechi ya biashara mkishinda mtakuwa kileleni pale.
mtani leo tumecheza kama tumelogwa vile
hata simba ikifungwa ni haki kuitwa jina lolote lileKwa hiyo mkifungwa nyie ndio mnajua kua kuimba ni kupokezana? Ila wakifungwa yanga ni utopolo sio
Embu niache wewe alaaaa 😠😠Lol. Mtani Eti kuna habari gani huko Uwanja wa Bibi? 😂😂😂
Nicheke mieee
Tukumbushane ni dkk ya ngapi basi na wewe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee!! Pole Mtani haya ndo madhara ya pira biriani kwani halichelewi kuchacha. 😀😀kuimba kupokezana mtani, mechi ya biashara mkishinda mtakuwa kileleni pale.
mtani leo tumecheza kama tumelogwa vile
khaaa! mtani sasa hapo unaninanga!Aisee!! Pole Mtani haya ndo madhara ya pira biriani kwani halichelewi kuchacha. 😀😀
Wwwooooiiiii!! Umefanya nimecheka mbaya. 😂😂😂😂😂Embu niache wewe alaaaa 😠😠
Pole Mtani najua mechi zinazofuata zote mnashinda na Champions League pia kombe lenu lile. Teh.khaaa! mtani sasa hapo unaninanga!
hapa nilipo nna huzuni mpaka nimeona nipunguze huzuni kwa hard liquar
Ahahah Jana mzee wakupapasa alisikika akisema kama uwanja wa Uhuru ungekua na Taa basi walikua radhi game irudiwe tenaWwwooooiiiii!! Umefanya nimecheka mbaya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poyeeeee. Kesho mechi itarudiwana mtashinda Mtani.
[emoji23][emoji23][emoji1787] bado tu hamjacheza mpaka sasa. Au mpapaso bado unakupa wengeunaambiwa ukiona Yanga iko juu ya msimamo ujue Simba bado aijacheza [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Unanikosha hatariiiiii
TCRA mkuu nao wanachangia mkuu! Leo Naamini wanajeshi wetu hawatatuangusha. Daima mbele nyuma mwiko!Jukwaa limemezwa na uchaguzi!? .Ushaisha walioshinda washashinda turudini kwa mchezo wetu.Matchday leo,Biashara hawajawahi kuwa rahisi kwa Yanga.sijui itakuaje