Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyu sarpong kama tulipigwa hivi
Niliwahi kusema hapa
Sarpong na Yikpe tofauti yao ni Rasta tu
Kisinda ni Copy ya Sibomana
Yule Yacouba sio yule aliyecheza na simba mwaka juzi ameflop mno

NB: YIKPE LINATUPIA ARABUNI KAMA HANA AKILI NZURI




,
 
Huyu ndiye mshambuliaji anayekamiwa kuliko wote kwenye ligi ya vpl. Hii inamaanisha ni mshambulizi anayeogopwa kuliko wote!
Ana upuuzi mwingi sana, muvu nyingi anaziharibu mpira unapofika kwake. Yacouba namuona ni mzuri kuliko Sarpong.
 
Yikpe ni bora kuliko Mugalu+Ilanfia combined

Kocha kaona bora achezeshe Ajibu false 9 kuliko Charles Ilanfia [emoji250][emoji81][emoji250](sina Hakika na spelling za jina lake)
Niliwahi kusema hapa
Sarpong na Yikpe tofauti yao ni Rasta tu
Kisinda ni Copy ya Sibomana
Yule Yacouba sio yule aliyecheza na simba mwaka juzi ameflop mno

NB: YIKPE LINATUPIA ARABUNI KAMA HANA AKILI NZURI




,
 
Yes tuna big game mbele yetu ila binafsi kocha sijamuelewa,kuweka watu ambao hawajacheza pamoja muda mrefu ni kututafutia matusi tusipopata ushindi......weka full mziki chukua points 3 songa mbele......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…