Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo point anakupa naniMi mwenyewe alinichosha sababu hiyo game anayoikamia si ajabu tukaambulia point moja.
Sikuona sababu ya kuwaweka nje wachezaji wengi namna ile.
Kwani jumamosi mbali basi.Hiyo point anakupa nani
we either win or you lose
alafu mkitoka hapo mnaenda kwa Azam
Hakuna yeyote unaeweza kumfunga hapo, na hata ikatokea ukapata goli huwezi kupata goli zaid ya moja,Kwani jumamosi mbali basi.
Dooh!! Jipe moyo ili ikifika jumamosi uzimie vizuri.
Hiyo Azam ina maajabu gani kwani Mtani?
Ooh. Basi tusiandikie mate. Kwani Jumamosi si mbali.Hakuna yeyote unaeweza kumfunga hapo, na hata ikatokea ukapata goli huwezi kupata goli zaid ya moja,
hao wote wanaweza kuingia nyavuni kwako hata mara nne
mtu aingie nyavuni mara nne useme janja janja hahahaOoh. Basi tusiandikie mate. Kwani Jumamosi si mbali.
Na hapo ndo utachoka zaidi.
#Bila Jannja janjja yanga hafungwi na Simba.
Sema na jinsi mlivyowanunua kina Juma Abdul na Tshishimbi au ndio mnajua hatuyajui hayo.mtu aingie nyavuni mara nne useme janja janja hahaha
Kocha analaumiwa bure tu, waliofanya hivyo ni viongozi wa timu. Kocha ni mgeni, hawezi kujua tensheni ya usimba na uyanga. Viongozi ndio waliingilia upangaji wa kikosi BMi mwenyewe alinichosha sababu hiyo game anayoikamia si ajabu tukaambulia point moja.
Sikuona sababu ya kuwaweka nje wachezaji wengi namna ile.
kwahiyo miaka yote minne mfulilizo tulikua tunawanunua tu??Sema na jinsi mlivyowanunua kina Juma Abdul na Tshishimbi au ndio mnajua hatuyajui hayo.
Hata hiyo Point 1 hampati.Mi mwenyewe alinichosha sababu hiyo game anayoikamia si ajabu tukaambulia point moja.
Sikuona sababu ya kuwaweka nje wachezaji wengi namna ile.
Miaka minne ipi?kwahiyo miaka yote minne mfulilizo tulikua tunawanunua tu??
Tuombe uzima Mtani.Hata hiyo Point 1 hampati.
Miaka minne ipi?
Hivi unaelewa ulichokiandika Mtani? Hivyo kile kichapo cha bao moja kwako hukihesabii. 😂😂😂Tokea 2016 hadi leo 2020 ni lini na lini mmetufunga nyie ? ukiachana na ile ya Morrson??
Ukiacha ile ya malinzi ipo nyingine? mna miaka minne imepita mnachezea au mnapata suluhu
Ila nimeiandika hapo, basi tu hujataka kusomaHivi unaelewa ulichokiandika Mtani? Hivyo kile kichapo cha bao moja kwako hukihesabii. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kisa Morison yuko Simba ama? [emoji848]
Wacha kujitoa ufahamu huku ukijua fika hapa tukisema mechi ya mwisho ya VPL kati ya Simba na Yanga inahesabika ni wewe ndo ulikalishwa kwa bao moja.
Hapo miaka minne haipo tena.
This time lazima nikuchek uwanjani....
Bila kuwapa dola elfu 5 kina Morrison unadhani ungeweza kucheza nasi?mtu aingie nyavuni mara nne useme janja janja hahaha
Ya Morrison kafuta![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee washabiki wa Simba bwana!! Ha ha ha ha haHivi unaelewa ulichokiandika Mtani? Hivyo kile kichapo cha bao moja kwako hukihesabii. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kisa Morison yuko Simba ama? [emoji848]
Wacha kujitoa ufahamu huku ukijua fika hapa tukisema mechi ya mwisho ya VPL kati ya Simba na Yanga inahesabika ni wewe ndo ulikalishwa kwa bao moja.
Hapo miaka minne haipo tena.
kesho ushindi uwakikaWakuu mbona Nina ma confidence ya kutosha kuhusu game ya kesho!?